Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.

Huyo wa kwnz kama ungempatia changamoto kidog akili ingemkaa sawa lakin kwa kuwa mchepuko basi ufanye njia kuu huo huo you never know labda hapo ndipo nyota ilipodondoka hapo
 
Ulichokifanya si ujanja ila ni ujinga, mpenzi wako ana malaya na wanawake wanne lakinibado uliendelea kuwa naye na ni mpenzi tu si mume unahitaji kupimwa, ili takiwa kumuacha ndo utafute wa kukuliwaza sasa wewe ukawa unatumika mara mbili kwa mchepuko na huyo aliyekuwa njia kuu, kama ni kuna gonjwa huyu mcheuko atakulaumu na unastahili lawama maana ulijua na haukuchukua hatua, kutafuta mchepuko ukiwa kwenye mahusiano si njia ya kuliwaza bali ni kuongeza matatizo ambayo huwezi kuyaona kwa muda mchache usirudie tena
 
Hayatuhusu. This is your private business.
 
utafikiri ulikua mawazoni mwangu

Ulikuwa umepanga kuuacha mchepuko wako lini??

soma hapa tafadhali https://www.jamiiforums.com/mahusia...4-maumivu-ya-kuchapiwa-yasikie-kwa-jiran.html
 
Kabla ya ndoa wote walikuwa michepuko tu. Sasa sema umeisha kuufanya mojawapo kuwa njia kuu. Sina shaka ukigundua naye ana cheat, ama utarudi kwa uliyemwacha au Utapata mchepuko mwingine. Angalia yasije kageuka ndio maisha yako!
 
alafu anaongea kwa kujiamini utadhani unanifahamu!!! labda ulitaka nifike mara ngapi?? acha kukariri binti watu hawafanani so sio lazima kila mtu awe kama ulivyo.

Labda kakupenda tu usiwe mwepesi wa kukasirika atoto
 
Ni wapi ametamka kumlaani? Dalili ya mvua.....tena kasema anamuombea asifike huko

"5 yrs baadae atakuwa changudoa per se"
yeye kawa mtu wa ramli ajuaye mwingine atakuwa na hali gani baada ya miaka mitano??
 
Dada unaenda jifia kwa stress. Pole sana.
 
Cheki hii:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom