Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Faida nlizopata ni nyingi sanaaa mamaa,nilikuwa nawaza nikiwa na mwanaume mwingine ntaridhika kimapenzi kweli??? Kumbe inawezekana fresh.wish unione how much am happy since nimecheat na kufunguka akili kwamba i can live without him in my life

Muongo wewe, mbona imekuuma na kukuchanganya mpaka umeamua kumuanuka jamaa humu JF. Huu si ni umbea tu wa kawaida.
 
bhaelezee, bhaelezee bhaelewe kisha bhakatende..........ukiona hawaelewi nenda zako forodhani ukale urojo au pweza ukiona haitoshi mama unakaa sea view pale kwa Mukesh unapata kandovu kabariiiiiidi

Nimbhaeleza kaz kwao sasa waamue wasuke au wanyoe
 
Mwogope sana mwanamke aliye na gutts za ku-cheat... Wanaume ni rahisi kumrudisha kundini sio mwanamke...

Ur story..??? Haa bado hampo tayari kuoana immature..
 
huwezi kushindana na mwanaume hata siku moja, sijui kacheat na wewe unacheat, kwanza naona nikuuzalilisha mwili, afu bado mwisho wa siku hujamkomoa bali umejikomoa mwenyewe na kujishusha thamani.

Ni bora ukiona mambo hayaeleweki bora ujisepie, ukatulize akili uangalie ulipokosea uanze upya, lakini mtu anaona kwenda kutanua miguu kwingine burudani, wakati mwenzie anafanya yeye anafanywa.

nonsense!!!!!!!
 
Mwogope sana mwanamke aliye na gutts za ku-cheat... Wanaume ni rahisi kumrudisha kundini sio mwanamke...

Ur story..??? Haa bado hampo tayari kuoana immature..

rudi kafanye uchunguzi tena
 
Achana naye huyo,kwanza mbali na kuwa na michepuko kibao hivo ananunua Malaya pia,halafu hata hakufichi mpaka kukuonyeshea picha zao,achana naye usije ukapata tu magonjwa
 
na hadi hapo alipofika ni vigum sana kujua thamani yake maybe azinduke sasa

uanze kuzinduka wewe,maana am sure aliyekutoa bikra sio ndo uko nae, wamekula wengi tuu.usisingizie kama unajua thamani yako kumbe i either umri wako ushaenda,au soko lako limeshuka
 
Achana naye huyo,kwanza mbali na kuwa na michepuko kibao hivo ananunua Malaya pia,halafu hata hakufichi mpaka kukuonyeshea picha zao,achana naye usije ukapata tu magonjwa

asante sana My dear Viol
 
Last edited by a moderator:
uanze kuzinduka wewe,maana am sure aliyekutoa bikra sio ndo uko nae, wamekula wengi tuu.usisingizie kama unajua thamani yako kumbe i either umri wako ushaenda,au soko lako limeshuka

ahahahah nillishakuambia usijitie kunijua mimi huwez nijua halaf sipo kama wewe mie najielewa na f.y.i tu alienibikiri ndo niko nae hivo sjui utanambia nini huna jipya
 
Huu ndio mtizamo wake coz kila mtu ana jinsi anavyojifariji. On my side naona kama jamaa alishakutharau kitambo sema tu hukutambua hilo. Maana kitendo cha kukuonyeshea kuwa na ana wapenzi wengine tayari ushakuwa mchosho kwake. Sometime we need to show our value, najua wanaume wanacheat lakini ukiona umejua alafu hata hashtuki jua hakuna chako hapo.
 
Back
Top Bottom