Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
- Thread starter
- #41
Hajitambui huyu
sijui wewe ni Ke au Me, ila hata wewe hujitambui kama sio kwenye mapenzi basi secta ingine,
Hajitambui huyu
alipoenda kutest huko nje hukupaona hapo
umeona na wewe halaf kilichoniboa eti na yeye akaona suluhu ni kutafta nyumba ndogo moyo ue mwepesi ahahahaha dah
si kabaki kuwa njia kuu sasa
yeah na i did it na nikawa na peace of mind
even if..........................!!
Pole sana na hongera kwa maamuzi magumu lakini yenye umuhimu mkubwa kwako.
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........
ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,
haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......
mbona waniachia blanks..........
Huwezi kushindana na mwanaume hata siku moja, sijui kacheat na wewe unacheat, kwanza naona nikuuzalilisha mwili, afu bado mwisho wa siku hujamkomoa Bali umejikomoa mwenyewe na kujishusha thamani.
Ni bora ukiona mambo hayaeleweki bora ujisepie, ukatulize akili uangalie ulipokosea uanze upya, lakini mtu anaona kwenda kutanua miguu kwingine burudani, wakati mwenzie anafanya yeye anafanywa.
yeah na i did it na nikawa na peace of mind
bhaelezee, bhaelezee bhaelewe kisha bhakatende..........ukiona hawaelewi nenda zako forodhani ukale urojo au pweza ukiona haitoshi mama unakaa sea view pale kwa Mukesh unapata kandovu kabariiiiiidiHOE hata siku moja siwez fanya k yangu karanga kutestiwa ladha