Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Kumbe hujaolewa unasema jamaa ni mchepuko...hilo neno ni LA walio ktk ndoa

Pili...ktk mawazo yako unaamini huyo jamaa yako mpya umemkuta single???kuwa makini
 
Faida nlizopata ni nyingi sanaaa mamaa,nilikuwa nawaza nikiwa na mwanaume mwingine ntaridhika kimapenzi kweli??? Kumbe inawezekana fresh.wish unione how much am happy since nimecheat na kufunguka akili kwamba i can live without him in my life

kwahiyo umekuja hapa kujisifu kwa kucheat? ama kweli wewe ni hamnazo kabisa.
 
Kwenda zako kajambe huko halafu ukafuatilie historia ya mama ako aligawa sana nyapu,kaliwa mnoo hadi na houseboy wenu

Kwa majibu haya utaonjwa sana. Anyway Dada Niko sirias nami naomba kuonja ila ikiwa fresh nachukua moja kwa moja yaan (ndoa) we ni pm tu tuongee zaid. Cost zote juu yangu.
 
pengine we ndio mchepuko ,ndio mana watu kila kukicha ndoa zavunjika hivyo hajakuoa anakutumia picha za wanawake wengine hujiongezi tu bado upo,kweli una moyo wa uvumilivu mimi hata kama napenda vipi namuacha mtu wa hivyo kwanza hafai hata nukta.
 
Yeah! uko sahihi,yote ni michepuko,but kusema kugeuka kuwa ndo maisha yangu jihesabie na wewe hapa na wengine wote coz michepuko ni kama moyo kila mtu anayo,kama hana basi alikuwa nao

Ni tahadhali tu. Hali hiyo isijirudierudie
 
Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.

Kazi ipo...kwa nini huyo mtu hukumuacha haraka na ukatulia kusubili uchumbiwe na kuolewa kwa heshima za africa?unadhani kuchet ndiyo suluhisho?je huyo nae akikutenda utakuja tena kusema?ukweli ni kwamba kama umepata mtu mwingine kwa sababu ya hasira za kutendwa kuna uwezekano kabisa pia uliyecheet nae si chaguo sahihi tena kwa sababu upo nae kama dharula,sidhani kama atakua sahihi kwako,ila ingekua umechukua maamuzi ya kumuacha yule fedhuri na kukaa ukatulia ndo atokee mtu mwingine.hope ingekua sawa,siamini sana juu ya uamuzi wako nadhani utaumia tena.tulia tafuta pesa na mtu sahihi atakuja kuliko kua na mtu kwa sababu ya hasira utaangukia pua
 
Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.

Nilichojifunza wwe bado unampenda uyu jamaa akoo afu pia mwsho wa penzi no chuki
 
sitaki ugomvi...,, ila naona kama......... ngoja tu ninyamae
 
Title yake amejiaminisha kuwa mchepuko kawa njia kuu lakini ndani ya maelezo sijaona kiashiria chochote kinachoonesha kuwa huyo mchepuko kawa njia kuu
Kati ya wadada wote ww ndiye unayejua kufuatilia thread kwa maneno mengine Kusoma in between lines watu wote wameendelea kupiga mayoe mbalimbali bila kuhoji hatima ya hii njia kuu imewezaje kupata heshima ya njia kuu badala ya kichochoro hahahaaaa
 
Back
Top Bottom