Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

hujui nini sasa...? hebu eleza kitu hapa....

hakuna kitu....? sijakuelewa....

sio rahisi hivyoo unahitaji kutoa maelezo yaziada...



haiwezi kuwa maamuzi, ya kwangu usije kujuta....unanijua lakini!!!

Mimi sijui ye kasema tu anatuachia...
 
kabanga mim nimeamua tu kwa moyo wangu sijalazimishwa halaf heb amua nikuone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom