Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Kati ya wadada wote ww ndiye unayejua kufuatilia thread kwa maneno mengine Kusoma in between lines watu wote wameendelea kupiga mayoe mbalimbali bila kuhoji hatima ya hii njia kuu imewezaje kupata heshima ya njia kuu badala ya kichochoro hahahaaaa

Tumuombee mapenzi yao yazidi kunawiri loooo
 
Naona jamaa alikuwa anataka proof ya kuwa kweli umemuacha au kweli utaachana na huyo mchepuko wako . na nadhan alikuwa anahitaji kujua hilo ili aweze kuendelea na hizo process nyingine kama unavyosema mwezi wa tatu mlikuwa mmekubaliana .

so kma jamaa alikuwa amechange hizo tabia zake za nyuma na wewe kama kweli ulikuwa unampenda sijaona sababu ya wewe kwenda kwa huyo mchepuko labda kama ungetwambia kuwa mchepuko ulikukonga nyoyo zaid na hivyo ukanogewa so ukawa unatafuta tu mbinu za kuachana na jamaa.

Sababu wote mshapitia mngekaa na kujadili namna bora ya kusonga mbele, mwenzako aliomba aone proof ya wewe kuachana na huyo mchepuko ungefanya tu na kama na wewe ulikuwa unataka afanye kitu ambacho kingekufanya uwe clear na hizo habari zake za nyuma ungemwambia na am sure angefanya sababu ashaona madhara.

kingine kila mtu ana namna yake ya kuwekwa clear, ukute wakati wewe unasema jamaa akuweke clear haukuwa unasema afanye nini haswa ndo uwe clear ,so akawa anafanya vile anavyoona yeye mfano hata hyo kuconfess ukute ilikuwa ni katika jitihada za kufanya uwe clear, but hapo tunaona kuwa yeye alikwambia kabisa kuwa ukifanya hivi ( ukimuonesha text ulizotuma kuuacha huo mchepuko wako ) angekuwa clear na mngeendelea na mipango yenu.

But naona haukuwa tayari kuuacha huo mchepuko kwa gharama yoyote na ndo maana jamaa akaona hata kama upo tayari kuolewa nae lakin haoni kama utaachana na huo mchepuko had ndoa,so kuna possibility kubwa kuwa ungeolewa na jamaa ndiyo bt huo mchepuko ungebak kuwa mchepuko wako,ndo kitu alichoogopa jamaa.

Hayo ya maendeleo na UDISHI nisiyaongelee sana ,mnajuana vizuri nyinyi wenyewe, but kwa vile ndo umeshaamua na mmeshafika hapo lets us wish you Happy life na hiyo njia kuu mpya Qute cherry
 
Last edited by a moderator:
ukiwa hujaoa/kuolewa wote ni njia kuu .. hakuna cha mchepuko..

We vip mate ya kumeza huna unaambiwa uteme..
 
Pole sana qute Cherry,kama huo mchepuko utaleta mzenguo tafadhali ni PM tutete,haiwezekani uzuri ulionao uteseke namna hiyo,YOU ARE WELLCOME.

N.B:fitna haziruhusiwi hapa, wafitini kaeni mbali!!!!!
 
Kwa majibu haya utaonjwa sana. Anyway Dada Niko sirias nami naomba kuonja ila ikiwa fresh nachukua moja kwa moja yaan (ndoa) we ni pm tu tuongee zaid. Cost zote juu yangu.
Hivi kumbe wewe kidume halafu u act like a woman u shameless witch!.mwanaume suruali kweli wewe
 
Majibu ya mleta uzi mie hoi yanaonyesha tabia yako ilivyo
Wanaokujua live wana shida

Ulitaka nikuoneshe tabia nzuri ili iweje labda?? nakujua??? Wa kuonesha tabia njema hapa kumbe ni mapritender ni ni wewe pamoja na hao wenzako mnaokesha pm kila siku kusaka maku na mabuzi maana huko nje soko limewadodea. nenda kaendelee kufundisha chekechea A for apple B for ball mwalimu mla kondoo zake
 
Title yake amejiaminisha kuwa mchepuko kawa njia kuu lakini ndani ya maelezo sijaona kiashiria chochote kinachoonesha kuwa huyo mchepuko kawa njia kuu
tena inaonekana habari hii haina ukweli wowote ni kuchangamsha jukwaa tu
 
huna lolote unataka kujue tu umepata mchepuko
 
Kichwa cha habari hakiendani na ulichokiandika,mi nilizani utasema kuwa yule uliechepuka nae katangaza ndoa…?? Lakini hongera kwa kuchepukaaa mwaya…!!
 
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........

ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,

haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......
Kweli mkuu inasikitisha limtu limeshakuonyesha rangi zote halikutaki we unakazania tu aachane na michepuko yake . Kiukweli sioni kama kucheat as alivyotumia mtoa mada kua suluhisho, alichotakiwa kuangalia ni je hii njemba bado inanifaa au la angesepa kwa amani kisha akajipanga upya.
 
Kweli mkuu inasikitisha limtu limeshakuonyesha rangi zote halikutaki we unakazania tu aachane na michepuko yake . Kiukweli sioni kama kucheat as alivyotumia mtoa mada kua suluhisho, alichotakiwa kuangalia ni je hii njemba bado inanifaa au la angesepa kwa amani kisha akajipanga upya.
ni kweli kabisa umesema mkuu ila ngoja tuangalie tu
 
Back
Top Bottom