Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Namsikitia sana huyu dada....hajui afanyalo
5 years baadae atakuwa changudoa per se...I pray Mungu aingilie kati kabla hajafikia huko.

Nikikuuliza kesho yako itakuwaje wala huna plans zozote idiot.5 years ya kwangu umejuaje???.shenzi kweli wewe.
 
Ulichokifanya si ujanja ila ni ujinga, mpenzi wako ana malaya na wanawake wanne lakinibado uliendelea kuwa naye na ni mpenzi tu si mume unahitaji kupimwa, ili takiwa kumuacha ndo utafute wa kukuliwaza sasa wewe ukawa unatumika mara mbili kwa mchepuko na huyo aliyekuwa njia kuu, kama ni kuna gonjwa huyu mcheuko atakulaumu na unastahili lawama maana ulijua na haukuchukua hatua, kutafuta mchepuko ukiwa kwenye mahusiano si njia ya kuliwaza bali ni kuongeza matatizo ambayo huwezi kuyaona kwa muda mchache usirudie tena

Sikuwa ready kumuacha at that time
 
Nikikuuliza kesho yako itakuwaje wala huna plans zozote idiot.5 years ya kwangu umejuaje???.shenzi kweli wewe.

Ngoja nikushauri kitu mumie.Ukileta humu thread yako tena yakutaka ushauri au mawazo usitarajie kusikia kile kilichopo akilini mwako.Tupo tofauti hivyo ungepokea changamoto na mawazo ya wadau wote katika hali sawa lakini hivi unavyoendeleza battle sidhani kama inakusaidia chochote.Kubali tupo tofauti kuna watakaokupa pole,kuna watakao kuona kivingine lakini all in all ndio mawazo yao na hauwezi ukambadilisha mtu kwa kile alichokiamini.
 
Honey Faith!! thats sweet like yo name, mimi love wewe
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikushauri kitu mumie.Ukileta humu thread yako tena yakutaka ushauri au mawazo usitarajie kusikia kile kilichopo akilini mwako.Tupo tofauti hivyo ungepokea changamoto na mawazo ya wadau wote katika hali sawa lakini hivi unavyoendeleza battle sidhani kama inakusaidia chochote.Kubali tupo tofauti kuna watakaokupa pole,kuna watakao kuona kivingine lakini all in all ndio mawazo yao na hauwezi ukambadilisha mtu kwa kile alichokiamini.

Bahati yako kitufe cha LIKE kwenye mchina hakionekani Ningekuchapa Malikes mpaka ukasirike

kilaza
 
Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.
maelezo yako yanafanana na avatar yako
 
Ngoja nikushauri kitu mumie.Ukileta humu thread yako tena yakutaka ushauri au mawazo usitarajie kusikia kile kilichopo akilini mwako.Tupo tofauti hivyo ungepokea changamoto na mawazo ya wadau wote katika hali sawa lakini hivi unavyoendeleza battle sidhani kama inakusaidia chochote.Kubali tupo tofauti kuna watakaokupa pole,kuna watakao kuona kivingine lakini all in all ndio mawazo yao na hauwezi ukambadilisha mtu kwa kile alichokiamini.

Mjukuu wangu huyo
 
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........

ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,

haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......
Mhh, mamaafacebook nimekupenda ghafla! naomba nikuoe!
BUT: Punguza kuwachana live wenzako!
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada hajisomi na inaonyesha jinsi gani huko mbele utavyokuja kuwa ovyooo,majibu yako tu unavyowajibu watu inaonekana ni mtu wa ovyo ovyo msharishari nampa hongera huyo mwanaume alivyokuwa anakufanyia.jitambue kwanza
 
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........

ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,

haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......

habari za siku mama, ila hapa umenena.
 
Back
Top Bottom