Nafikiri sasa mbowe na Chadema wamepata somo kuwa MSIDHARAU SHERI ZA NCHI na vile vile MSIDHARAU AMRI ZA MAHAKAMA.
Mwenyekiti Mbowe alikuwa na sababu gani iliomzuia kufika mahakamani? Mbona Dr Slaa alilimaliza hili kistaarabu?
Dont ask this, no one will dare to answer you!
wanaangalia tunda na si mzizi, hii ni another scandal
Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Hivi wewe unafikiri wanaonyea debe ni akina Mbowe tu? Unapotoa judgement ya namna hii lazima uhakikishe Mungu ni baba yako na kwamba you're very clean in all aspect of your life na kwamba hutakaa uingie pale. Kuna watu ambao hawakuwahi tegemea kuingia pale lakini waliingia mkuu. Rumande kunafana na hospitali ambapo hakukwepeki maadam unaishi miongoni mwa binadamu wenzako. Kuna kubambikiwa kesi , kuna wenzako kukuponza n.k. kwa hiyo usishangilie mwenzako anapoumia pls kuwa na ubinadamu.
Ila debe kanyea.Sidhani kama siku nyingine atadharau mahakama. Ajue mahakama siyo chama cha siasa,ni muhimili wa dola. kwa mwandishi mwenye picha zake wakati amekamatwa nahisi alikuwa kama Kiza beseje alivokuwa siku ile M7 amfanyie kitu mbaya
Ni afadhali kufia kile unachokiamini kuliko kuishi bila kuamini chochote.
I think hakutegemea haya yote!
kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.
At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Hivi wewe unafikiri wanaonyea debe ni akina Mbowe tu? Unapotoa judgement ya namna hii lazima uhakikishe Mungu ni baba yako na kwamba you're very clean in all aspect of your life na kwamba hutakaa uingie pale. Kuna watu ambao hawakuwahi tegemea kuingia pale lakini waliingia mkuu. Rumande kunafana na hospitali ambapo hakukwepeki maadam unaishi miongoni mwa binadamu wenzako. Kuna kubambikiwa kesi , kuna wenzako kukuponza n.k. kwa hiyo usishangilie mwenzako anapoumia pls kuwa na ubinadamu.
nimegundua chadema wa jf wote pumbafu kabisa.
nchi haitakalika peoples power huku wanajfungia majumbani kwao.
wanaancha maskini wakaandamane na kupigwa bakora kama wanafunzi.
wamemuacha mwenyekiti anakunya kwenye ndoo siku mbili.
kasafirishwa kama kibaka kwenda arusha. eti arusha haitakalika.
sasa hapa mmepata nini. bora angeheshimu dhamana ya mahakama.
kuna watu hapa bora waingie choo cha kike tu ni waoga hao
mbona hukuenda kuandamana ili ukafe. kazi bwabwaja jf tu acha danganya watu hapa
Kakamatwa kwa kukaidi amri ya mahakama, kapelekwa mbele ya pilato, wenzake wamekuja kumuombea dhamana kwa kufuata taratibu zote za kisheria tena kwa adabu zote, kwa kuwa mahakama ni chombo cha haki imewasikiliza.
Wananiudhi viongozi wetu "wapendwa" wanapovunja sheria wanazozifahamu vizuri kuliko sisi halafu wanasubiri huruma ya watu. Muda umepotea. Kodi zetu zimetumika vibaya. Tumeacha kufanya mambo ya maana. Wala hakuna tija katika hili.