Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Uwezo wa hawa waheshimiwa wa kufikiri ni finyu saana, kwa nchi masikini yetu kama hii Tanzania utumie gharama zote hizo kubebana na mtu ambaye si jambazi sugu labda anaweza kutoroka. Kweli inaingia hakirini kweli hiyo??????????? Magari kwenda Air Port Ukonga, ndege Dar to KIA or Ars Aport, magari mahakamani yote hiyo ni gharama kwa mwananchi wa Tanzania!!!!!!!!! Hivi Watanzania wamekosa nini kwa Mungu wapewe adhabu za aina hii. Si busara zitumike ingawa kiasi jamani????????Sidhani kama katika jeshi la polisi la ccm kuna mtu wa kuyafikiria hayo wala katika mahakama hakuna mtu wa maana wa kutoa constructive ideas kama hzo. Tunashukuru kwa wanataasisi kma hawa kwa michango yao ya kimawazo ya kuwaamsha ipo siku watakumbuka shuka wakati kumekucha.
yaani saa hizi nina uhakika Mkulo jasho linamtoka mikononi.....
Chama cha wanasheria Tanzania (Tanganyika Law Socitiety - TLS) kimesema mahakama haikutumia busara kwenye suala la Mh. Freeman Aikael Mbowe. Rais wa Chama hicho Francis Stolla akizungumza na Radio Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) alisema katika kipindi hiki ambocho bunge la bajeti linakaribia mahakama ingeweza kusubiri mpaka shughuli ya bunge iishe kwani Mbowe ni mtu anayeweza kupatikana.
Aidha amesema hata polisi hawakutumia busara kutomwachia mapema na kumtaka aende mahakamani yeye mwenyewe, kwani ni mtu anayejulikana na si mhalifu sugu.
mAGESA NI MPUMBAVU
Sijapenda ndoto niliyoota leo. Eti nimeota ndoto kwamba Polisi wakiwa wanamsafirisha Mbowe njiani walimpiga sumu ya Kumuua taratibu in some few years to come bila yeye kujijua. Kama kuna roho kama hii ishindwe
Duh, wewe kweli hujui ku analyse mambo, hiyo ni kinyume chake sasa ! Jamaa wamemdhalilisha sana na hata wabunge wenyewe wamesema. N aelewa kuwa suala la bajeti ni suala la bunge sio la mbowe, sasa hapo pipoz powa inahusika vp?. Jamaa wamemkamata kama ndege, wameenda kumlaza sakafuni, wamemsafirisha usiku hakupata usingizi huoni heshima imepungua?. Na isitoshe hili ni suala la kisheria wala CCM haihusiki hata chembe, wenzake wao walienda mahakamani wakamdanganya mwenzao amedhalilika sana .