Hatimaye Mbowe apewa dhamana

<p>
waswahili tunasema utabaki na labda. CDM kuiona ikulu bado ni ndogo ya zuzu.
</p>
<p>&nbsp;</p>
ccm mwenye jina mr ni jk wengine mrs,kama waliwa kidogo utakuwaje mr?jk endelea kuwala kidogo harafu vyeo
 
hiyo ni kazi ya lowassa, tena walimvika na uchifu kabisa

BTW, mbunge wa ngorongoro anatoka chama ipi?
 

You are very right. I like your comment!!!!! waache waendelee kufanya hivyo hivyo maana siku hazigandi.
 
unaposema wanatumiwa na CDM unaweza kuthibitisha?weka ushahidi hapa............suala la wamasai kukosa elimu si tatizo la wamasai tu ni la makabila mengi sana hapa nchini.matatizo ya kisiasa yaliyopo ya arusha hayana uhusiano na wamasai kutokuwa na elimu labda utoe ufafanuzi wa kina.
 

Kwako wewe kabila lenye elimu ni lipi? na elimu unayoongelea ni ipi? Na kama kweli wewe ni mwanaume kaongelee hii kauli mjini Arusha ndio utaona hawa wamasai unaowaita 'hawana elimu' watakunya kitu gani?
 
wee unapimaje umaarufu,mbona alikua rumande sasa amepiganiaje hiyo haki,na kama ni hivyo kuwekwa rumande ndio umaarufu basi mch. mtikila ndie jembe zaidi kuliko yoyote tanzani.

We mjima kwelikweli, yaani unabisha kwamba FAM hajaongeza umaarufu kwa hizi siku tatu kwa vile alikuwa lumande. Fuatilia umaarufu wa Nelson Mandela ulipatikanaje kama si kwa sababu alifungwa na wazungu! We umeishia darasa la ngapi vile!?
 
kama mnahamasishana kudharau mamlaka zilizowekwa kikatiba na kujiita wapambanaji tuwaeleweje?means hamfai kuwa viongozi na hata kufikiriwa kuwa watawala wa nchi hii. Kwa hili chadema mmepotea.hivi kwa akili zako timamu unamshabikia mtua liyedharau mahakama?anatufundisha nini yeye kama kiongozi?nchi hii ina mihimili mitatu ya dola lakini sasa imefikia wakati muhimili mmoja unaona kuwa wenyewe ndio uko sahihi always na wengine wanaungilia each time unapotokea mgongano wa kimaslahi.LOST
 
Wanadanganywa, wanadanganyika. ndio maana mara mgogoro uvccm na imara wanatumiwa na cdm kuvuruga amani.



Malaria Sugu,
Kumbe na wewe una akili kama za Nape. Si kazi ya CDM kuwasomesha wamasai na makabila mengine pia. Hiyo ni kazi ya serikali iliyomadarakani iwe ya CCM, CDM au chama kingine chochote. Kazi ya CDM na vyama vingine vya upinzani ni kuwatetea watanzania wa Makabila yote wakiwemo na wamasai. Naona sasa unaanza kuwa Malaria dhaifu.
 

  • Alipo walazimisha CHADEMA kununua magari yake chakavu bila hata kufuata utaratibu
  • Alipokwepa kodi kwa kutokada kodi kwenye mishahara ya wafanya kazi wake
  • Alipo mlinda na kumtetea Slaaa achukue mke wa mtu bila idhini yake...............endeleeni wakuu
 
Mbowe alisha sema haendi mahakamani ulitaka polisi wamrambe miguu ndio aende? Hata hivyo kwa hili hawana kosa kwani wao walikua wanatekeleza wito wa mahakama
 

Thamks for the observation Mkuu Ngogo.
JF is degenerating into a third class caliber as far as thinkers are concerned.
Kuna wanaoenda sambamba na Faizafoxy kwa mipasho n na bibie anawapa haki yao, kuna wanaodharau hata uwepo wao nchini, wao ni CDM tu, hata katika upuuzi.
Hawa ndo naungana na wewe kuwaita wasukuma mikikoteni au ma-coconut.
Nothing good can come out of them.
 
We mjima kwelikweli, yaani unabisha kwamba FAM hajaongeza umaarufu kwa hizi siku tatu kwa vile alikuwa lumande. Fuatilia umaarufu wa Nelson Mandela ulipatikanaje kama si kwa sababu alifungwa na wazungu! We umeishia darasa la ngapi vile!?

Mandela Vs Mbowe, hapo ni watu wawili tofauti kabisa na huwezi ku compare kwa chochote kati ya watu hao. Nawe umeishia darasa la ngapi vile ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…