GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
You have to think twice before you spat your rubbish!Kama hujui kufa tazama kaburi! Uliza nini kimetokea huko Tunisia,Misri,Libya,Yemen,Saudia n.k.
Upumbaf,ujinga na unyanyasaji wa Wabunge na Viongozi wa Kambi ya Upinzani wanaoufanya Polisi na Mahakama kwa kujifanya ni VIJIBWA wanaotumwa na serikali ya CHAMA CHA MAGAMBA,MAJAMBAZI na MAFISADI utakuja watokea puani this time.
Hawana risasi za kuwaua mamilioni ya Watanzania waloko nyuma ya CHADEMA.
Kila jambo huwa lina mwanzo na mwisho. Sasa Serikali ya Rais Kiwete tunaiambia hivi huu ni MWANZO MWISHO.Tunajua Kiwete anahusika moja kwa moja na kamata kamata ya viongozi na Wabunge wa upinzani ni ya makusudi ili kutaka kuvuruga nguvu ya Upinzani kwenye Bajeti inayokuja ya 2011/2012.
Hatukubaliani na upuuzi huu.
Gere mama gere mama wananionea gere, wameusaga mtama wanaubwia wenyewe! Utajijuu babuwee.
Viongozi wa CHADEMA kwa uelewa wao wa sheria na nafasi yao katika Nchi na jamii hawapaswi ku-behave hivi. Wanatukatisha tamaa.
nimegundua chadema wa jf wote pumbafu kabisa.
nchi haitakalika peoples power huku wanajfungia majumbani kwao.
wanaancha maskini wakaandamane na kupigwa bakora kama wanafunzi.
wamemuacha mwenyekiti anakunya kwenye ndoo siku mbili.
kasafirishwa kama kibaka kwenda arusha. eti arusha haitakalika.
sasa hapa mmepata nini. bora angeheshimu dhamana ya mahakama.
kuna watu hapa bora waingie choo cha kike tu ni waoga hao
Nenda kaandamane tukufanye kitu kibaya ambacho utajutia hata wazazi wako kukuzaa ! si umeona wakina Mbowe, Lissu nk tulivyowafanya, bado wewe sasa . Na sio kwamba tunakutisha
HTML:
Hivi yale magari ya washawasha yako mangapi nchi nzima? maana ukiyalipua hayo, polisi hawana nguvu tena (just thinking twice)
acha kutisha watu wewe, katishie wanao na mkeo kwaqni kufa ninini ;
Baada ya aibu wanachadema wanajitutumua!!kweli nimewakubali
Haya Mandela nae alidhalilishwa tena kwa miaka na sio siku....look at him now!!Kuna alichopungukiwa zaidi ya kuheshimiwa ulimwenguni kote???!
Wanaodhalilika ni wale wanaodhani kumweka Mbowe jela ni kumkomoa...mwisho wa siku yeye ndo anaepewa mikono mtaani wakati mzee mzima J wa K anakuna kichwa kama hana akili nzuri.
Hisisa za kidini unazo wewe mwenyewe. wewe unawataja wengine kukaa rumande je wewe mwenyewe ungependa ukakae rumande siku ngapiAmekaa jela Mandela hadi anazeeka ndo iwe Mbowe siku mbili... Acha hisia zako za kidini wewe
Yote mnayasema baada ya Mbowe kulala rumande?? kupelekwa Arusha kisha kaachiwa!!! kuna limitation ya uwezo wenu jamani, tunasisitiza akili kwanza miguvu baadaye.
Muulizeni Mbowe kimemtokea nini alivyolala rumande!!!
Mimi sina la wala le! ninaangalia picha loote
mahakama wababe, at least nimejua sasa!
Mbona alipolazwa sakafuni hamkuchoma kituo moto ? lengo limetia mlisema hakamatiki sasa yuko wapi, amekamatwa na amepelekwa kunako takiwa