Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,067
- 22,760
Natanguliza pole zangu kwa watakaopangiwa DC ambaye amedanganya kuhusu umri wake.
Mkuu hii naiita statement ya mtanzania halisi - yaani uwape wengine pole lakini ushindwe kujipa pole kwa kuwa na mpangaji ambaye ameweza kukudanganya... no I mean kuongoza kwa miaka yote minne !
Sijui atawadanganya mambo mangapi mengine hao atakaokabidhiwa dhamana ya kuwadanganya... no I mean kuwaongoza
Kama watanzania wote tumeweza kudanganywa... no I mean kuongozwa na huyu msanii na bado tunamtaka atudanganye.....oops, atuongoze kwa miaka mingine mitano, kazi ipo ! Yaani sisi kama taifa la wadanganyika, tushangae nini ? Mkuu, tuhurumie !