B Bongotunacheza JF-Expert Member Joined Dec 7, 2018 Posts 1,387 Reaction score 3,158 Aug 24, 2025 #1 Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,534 Reaction score 31,198 Aug 24, 2025 #2 Kumbe ni sababu ya Dr Mwele(RiP)