Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

Na sisi tuko mbioni kurusha dude....kituo kule msitu bwawa la Nyerere..... JPM ni noma....
 
Hahahha.... kila kitu ni imani.

Nasikia mchopa wake jana ulifika GONZU within 11hrs.
Jamaa tutamkumbuka sana.. Mama hata sielewi anachosimamia... Nimemshangaa jana anagawa gari, thamani ya kituo cha afya cha kata (450,000,000tsh) ilokamilika kabisa kwa kutumia force account.
 
Ni kweli kabisa.Tayari NASA wanailaumu China kwa kutokuwajibika,sasa huu si uhuni huu.
Tatizo kubwa la Mayankee upenda penda sana waonekana ni relevant - mara ooh tutalipua roketi booster ya wachina juu kwa juu kabla haija dondoka Duniani, nani kawapa mamlaka NASA/USAF kulipuwa roketi za watu kama sio uwenda wazimu - Waundaji/wana sayansi wa roketi wa Uchina walisema tangu booster ilipopata patwa na tasiso la kuongozwa kwamba ikiingia kwenye atmosphere asilimia kubwa ya booster itauungua, vitabaki vipande vidogo ambavyo vita anguka kwenye bahari, na hilo ndilo limekuja kutokea - sasa hawa jamaa wa NASA waliokuwa wana danganya Dunia kwamba wanafatilia booster 24X7 hawajui hata kitu gani kilitokea mpaka sasa wako kimya kabisa - usanii mwanzo mwisho.
 
Wanaota Kuwa bado wao ndo wako peke yao kwenye space exploration program

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Mabaki ya roketi ya China yametua kwenye bahari ya hindi magharibi mwa nchi ya Maldivies pasipo madhara yoyote kwa binadamu kama China yenyewe ilivyosema.Naona USA kabaki hoi.Chanzo cha habari kwa mashirika yote ya habari ni kutoka China kwenyewe.
Tofautisha Kati ya kutua na kuanguka. US ndo abaki hoi?
 
Seriously?! Unasema "USA kabaki hoi" kwa sababu zipi? Kwani mabaki ya roketi yameangukia Marekani?

Ama kuna hasara yoyote ambayo Marekani imepata kutokana na mabaki kutoangukia Marekani?

Kwani Marekani ilitaka mabaki yaangukie wapi ama sehemu gani?

Rejea kauli ya US Secretary of Defense Lloyd Austin juzi kuhusiana na suala hili. Kama ulimsikiliza kwa makini alisema kwamba Marekani inatarajia na inatumai mabaki hayo yataangukia mahali ambapo hayataleta madhara kwa binadamu.

Sasa wewe unayesema "USA kabaki hoi" una maana gani?
 
Tatizo kubwa la Mayankee upenda penda sana waonekana ni relevant - mara ooh tutalipua roketi booster ya wachina juu kwa juu kabla haija dondoka Duniani, nani kawapa mamlaka NASA/USAF kulipuwa roketi za watu kama sio uwenda wazimu - Waundaji/wana sayansi wa roketi wa Uchina walisema tangu booster ilipopata patwa na tasiso la kuongozwa kwamba ikiingia kwenye atmosphere asilimia kubwa ya booster itauungua, vitabaki vipande vidogo ambavyo vita anguka kwenye bahari, na hilo ndilo limekuja kutokea - sasa hawa jamaa wa NASA waliokuwa wana danganya Dunia kwamba wanafatilia booster 24X7 hawajui hata kitu gani kilitokea mpaka sasa wako kimya kabisa - usanii mwanzo mwisho.
Mkuu hao jamaa ni full janja janja.
 
Back
Top Bottom