Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Status
Not open for further replies.
Sasa kila anayetaka kwenda kudigidigi akisema humu ndani patatosha? Mambo mengine utoto huo.
 
vitu vngne ujinga tu!! Na hali yenyewe hiyo? Mmmmmh! Huyo mwanamke naye ni noumaa! Sa si litakuwa bush...a a a! Ha ha ha!


ha ha haaaa itabidi asuke mabutu ili angalau kupitisha hewa... ukiuliza nini.. maagizo ya mpenzi uchwara
 
Huu utoto sasa too much. Jamani!

Afadhali nilikosa vigezo vya u mods, watoa mada kama hawa ningewapoteza kama ndege ya Malaysia.
 
Kisa umeamliwa na mpenzi asiyekuamini... bila kujali bughudha ya manywele hayo..... wakati yeye yuko huruuu. Wapenzi kama hawa piga chini

Yani hawafai hata kidogo na hali yenyewe ya tz kha!Hata huyo bishost ni mchafu tu
 
nani kakwambia asipo nyoa ndo dushelele haliingii wengine wanapenda mapori. ishu niuminifu tu.
 
haufi bana!! Eti wanasema service road inapunguza jam we huoni unapumua huko? Mweeeh!

He's my baby na nimeondoka kwetu kisa yeye so why should I push him jamani.Unajua toka jana ni mda mrefu sana please!
 
Vipi na wewe ushapiga shoo za mara ngapi kwa hiyo miezi 6 ya kutoonana.Kama umeshapiga ujue nae keshapigwa.Ishu ya kufuga mavu...zi sio solution ya kutokupigwa nje.Ni just kumwambia huyo jamaa anayemgonga kuwa ---- anataka nifuge ma..zi,Msela anaelewa;Wanaendelea kumegana kwa staili zote,ukija mazee unakuta msitu huo.
 
Wahenga walikuwa wanaakili sana japokuwa wenzetu wahenga wao wamewaita wanafalsafa "UKIMCHUNGUZA SANA KUKU..........."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom