mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,256
amri kumi za Mungu ..usitamani mwanamme asiye mume wako..Hata Mandela alifungwa jela,
Ukombozi siyo lelemama.
Pole sana L. Masha. (Your handsome);
amri kumi za Mungu ..usitamani mwanamme asiye mume wako..Hata Mandela alifungwa jela,
Ukombozi siyo lelemama.
Pole sana L. Masha. (Your handsome);
Yaani bwana Mungu huwa anawapa watu vipofu wasiojua wanachokifanya, inawezekanaje unapata ubunge ukiwa early 30's na uwaziri juu then eti unakaa miaka tu mitano tena ukiwa na chama tawala halafu unapigwa chini kwa kushindwa kuwatumikia wananchi? This man I will never understand him unless aje mtu wa kunifafanulia.Hakutakiwa kuwa mtu wa kupata shida huyu Lawrence Marsha hata kidogo ila kiburi cha uzima na dharau ndivo vilivomfikisha hapo alipoLawrence Masha
Na bado mgombea urais wa ukawa kulala segerea mpaka mkome kudanya watanzania. juzi juzi tu mlikuwa mtuaminisha Lowassa fisadi, ghafla si fisadi ni mtu safi. pambaaaf...
hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo dhuluma iliwahi kushinda haki .Hatimaye Lawrence Masha amechiwa kutoka gerezani baada ya jana kuwa amekosa dhamana pale mahakama ya Kisutu,hali iliyopelekea yeye na wenzake kurudishwa rumande.
Lakini mchana huu (wa tarehe 26-08-2015) hatimaye ameweza kutolewa nje kwa dhamana na kusubiria mashtaka yake.
View attachment 280616
mulimtosa dhamani; mpo busy k/koo ,tandale , ilala
kwa kukosa 2 mil ; kampuni yake ya usafi walimsusia ; inaonyesha haishi vizuri na wafanyakazi wake.
Alishawaona malofa;
wamemchunia; lazima wafagie jiji kwa kasi na hali mpya
Hata Mandela alifungwa jela,
Ukombozi siyo lelemama.
Pole sana L. Masha. (Your handsome);
Hata Mandela alifungwa jela,
Ukombozi siyo lelemama.
Pole sana L. Masha. (Your handsome);
Bado LowassaUkiwa chadema lazima uonje jela kwanza, hiyo ndio moja ya vigezo vya kupata uongozi chadema
Inatufundisha ukiwa madarakani tenda kufuata sheria, mheshimu kila mtu mkubwa kwa mdogo, hata kama wewe una nini!! Inaonyesha alipokuwa madarakani aliwanyanyasa sana askari. Maana kosa lake wangeweza tu kulimaliza wenyewe kama boss wao wa zamani.
Jela sio pazuri kakonda ghafla