Hata Mandela alifungwa jela,
Ukombozi siyo lelemama.
Pole sana L. Masha.
Ukiwa chadema lazima uonje jela kwanza, hiyo ndio moja ya vigezo vya kupata uongozi chadema
Aliyeuza nyumba za serikali huyo Magufuli ajiandae kwenda huko segereaNa bado mgombea urais wa ukawa kulala segerea mpaka mkome kudanya watanzania. juzi juzi tu mlikuwa mtuaminisha Lowassa fisadi, ghafla si fisadi ni mtu safi. pambaaaf...
Mbona nilisikia kahamia ACT au nilisikia vibaya.
Changanya na za kwako!Sijui washauri wa magamba hua wakoje, naanza kuhisi washauri pamoja na vyombo ya dola vimeamua kuizika ccm rasmi; kwenye ulimwengu wa siasa popote duniani, ukimfunga tu mpinzani tafiti zinaonesha unamuongezea umaarufu; graph ya Masha tayari ipo ju sababu hata waliokua hawamfaham wataanza kutafuta kujua sasa Masha ni mtu wa namna gani? Watu wakisha jua kama huyu ndio alikua mental wa Ridhiwani Kikwete na pia alikua mwajiri wa mtoto wa Karume halafu waje wa connect dots za Lowassa alivyofanyiwa na JK ndio chuki dhidi ya JK na ccm zitakapozidi. Kuna watu nawasikia mtaani kua watampa Lowassa kura kwasababu ya kumwonea tu Huruma tu. Washauri wa ccm hebu kuweni kama watu mlioenda shule, najiuliza tu, hivi hizo hotuba anazotoa mgombea wao mbona is like anatoka chama cha upinzani na sio ccm?
mulimtosa dhamani; mpo busy k/koo ,tandale , ilala
kwa kukosa 2 mil ; kampuni yake ya usafi walimsusia ; inaonyesha haishi vizuri na wafanyakazi wake.
Alishawaona malofa;
wamemchunia; lazima wafagie jiji kwa kasi na hali mpya
na bado mgombea urais wa ukawa kulala segerea mpaka mkome kudanya watanzania. Juzi juzi tu mlikuwa mtuaminisha lowassa fisadi, ghafla si fisadi ni mtu safi. Pambaaaf...
Hujielewi wewe hujui hakimu aikuwa anahakiki majina ya wadhamini hadi muda wa ahakama kwishali wamkomoe jana IGP Kikwete walicheka leo yako wapimulimtosa dhamani; mpo busy k/koo ,tandale , ilala
kwa kukosa 2 mil ; kampuni yake ya usafi walimsusia ; inaonyesha haishi vizuri na wafanyakazi wake.
Alishawaona malofa;
wamemchunia; lazima wafagie jiji kwa kasi na hali mpya
Hata Mandela alifungwa jela,
Ukombozi siyo lelemama.
Pole sana L. Masha. (Your handsome);