Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Mungu atawasaidia Wana UKAWA Malipo ya dhambi Mungu ameyasogeza hapahapa Duniani mbinguni ameona in mbali
 
Hii ni namns ambayo inaweza kumpa mtu umaarufu na kusababisha kupata kura za sympath. Ni vyema vyomba vya dola na chama tawala vikawa makini katika kutekeleza maamuzi/maagizo hasahasa yanayowahusu wagombea.

Mkuu ukisikia sikio la kufa ndio mambo yanayofanywa na ccm
 
Mwl nyerere alishawahi kusema maneno haya"uongozi kwa njia ya vitisho ni uongozi Wa kudumu kwa mida mfupi tu,mtu anapohoji juu ya maamuzi ya kijinga katika taasisi ya uma anatumia hali yake ya msingi kama raia,na viongozi wanatakiwa kuwaelimisha juu ya maamuzi hayo,hivyo kuwafunga na kuwatisha watu wanapodai haki zao siyo suluhisho la matatzo
 
huyu jamaa hajakaa ki-ccm huku ndio kunamfaa sana he looks tough
 
hahahaaaa nimefurahi eti masha kabatizwa rasmi......

sasa ni kamanda originale
 
Ukiwa chadema lazima uonje jela kwanza, hiyo ndio moja ya vigezo vya kupata uongozi chadema

Ukiona kiongozi wa Chadema hajaonja jera au police ujue ni mwenzao au msaliti Kama yule wa Kigoma
 
Ukiona kiongozi wa Chadema hajaonja jera au police ujue ni mwenzao au msaliti Kama yule wa Kigoma

Masha ni yule yule aliyekuwa mambo ya ndani Oct 2010, Masha ni yule yule wakazi wa Nyamagana walimkimbiza kwa dharau zake zilizopitiliza, Masha ni huyu huyu aliyeangukia pua jimbo la Sengerema kwa wananchi kumkataa dhahiri! hapa sasa naanza kuamini hata shetani anaweza kuwa malaika!
 
Hatimaye Lawrence Masha amechiwa kutoka mahabusu baada ya jana kuwa amekosa dhamana pale mahakama ya Kisutu, hali iliyopelekea yeye na wenzake kurudishwa rumande.

Lakini mchana huu (wa tarehe 26-08-2015) hatimaye ameweza kutolewa nje kwa dhamana na kusubiria mashtaka yake.

View attachment 280616

LAU.jpg

11041256_1016896011696576_4516666672842891621_n.jpg

Vp kuhusu wale vijana?
 
Hivi chadema wamemchukua huyu jamaa wa kazi gani?sidhani kama ana madhara kwa chama tawala.

Yeye ndiye anaejua Dili la Vitambulisho vya Taifa ni la nani pamoja na mwenye Dili la kusuply vifaa vya Jeshi la Polisi na Magereza ni nani?
 
Mwl nyerere alishawahi kusema maneno haya"uongozi kwa njia ya vitisho ni uongozi Wa kudumu kwa mida mfupi tu,mtu anapohoji juu ya maamuzi ya kijinga katika taasisi ya uma anatumia hali yake ya msingi kama raia,na viongozi wanatakiwa kuwaelimisha juu ya maamuzi hayo,hivyo kuwafunga na kuwatisha watu wanapodai haki zao siyo suluhisho la matatzo
. A very wise words toka kwa Mzee aliyekua na hekima na uelewa wa hali ya juu,wazee wa namna hii wamebaki wachache sana kwa sasa,Mwandosya Mark ni mmoja wao!
 
Hakuna kisicho kuwa na mwisho hapa duniani ccm itakufa kifo kibaya sana bora wangefanya maridhiano la sivyo hasira za wana nchi siyo za kudharau !
 
Back
Top Bottom