Bikirembwe, nilikuwa nafufua viporo hivi. Inaweza kuwapa mwanga wale wageni ambao hawakujua kuna mambo haya tuliyajadili miaka miwili iliyopita.
Kipindi hiki wakati JK ameingia madarakani alikuwa anafanya maamuzi ambayo wengi walikuwa wanammwagia sifa kem kem. Bado anaweza kufanya kweli, "tumpe muda"! Na ikiwezekana mwaka 2010 tumwongezee 'tu-miaka tutano tu' aweze kumalizia kazi nzuri aliyopanga kutufanyia watanzania.
Mac
Kwa mujibu wa habari, serikali ya JK imesitisha mara moja uuzaji wa nyumba za serikali kwa viongozi na kuanzia sasa nyumba hizo hazitouzwa tena. He got some nerves.... Kuna watu imedaiwa wamekasirishwa na kitendo hicho!!
Soma habari hapa: http://majira.co.tz/kurasa.html?soma=tanzania&habariNamba=737
Du niliichangamkia hii thread kwa spidi ya ajabu. Nilidhani JK kaamua kumshughulikia Mkapa. Kumbe...
Waziri mhusika wa kuuza nyumba sasa yupo Ikulu,vipi zoezi litaendelea au itakuwaje mzee?Kwa mujibu wa habari, serikali ya JK imesitisha mara moja uuzaji wa nyumba za serikali kwa viongozi na kuanzia sasa nyumba hizo hazitouzwa tena. He got some nerves.... Kuna watu imedaiwa wamekasirishwa na kitendo hicho!!
Soma habari hapa: http://majira.co.tz/kurasa.html?soma=tanzania&habariNamba=737
Mzee ES, mimi nilikuwa shabiki wa Mkapa just kutokana na habari za magazetini, lakini jinsi JK anavyoanza kufanya haya mambo naanza kujiuliza hivi Mkapa alikuwa ni Rais wa nchi gani? Nafikiri kama kuna mtu ambaye Nyerere anajutia kutupa Watanzania ni Mkapa. Angalau Mwinyi ilikuwa ni majaribio ya utawala bila Mwalimu!! Mimi nafikiri Rais afanya hatua moja zaidi. Kama kuna kiongozi yeyote aliyenunua nyumba za serikali zaidi ya moja, basi warudishe hizo nyingine serikalini!!! Wachague ni ipi wanataka kuendelea kuwa nayo, na hizo nyingine zirudishwe kwenye matumizi ya serikali au ziuzwe kwa wafanyakazi wa kati!!
We mzee mhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!! vipi zirirudishwa hizo nyumba au ndo ilikuwa siasa za sifa kama huyu Prezdaa mpya,,,,kumbe watu makeke ya uongozi ukiwa rais wanaanza nayo wote
Kuna watu wakiona uzi huu watatamani kuyameza maandishi yao.
Baada ya miaka 10 bado ameendelea kufanya kweli ?Kwa mujibu wa habari, serikali ya JK imesitisha mara moja uuzaji wa nyumba za serikali kwa viongozi na kuanzia sasa nyumba hizo hazitouzwa tena. He got some nerves.... Kuna watu imedaiwa wamekasirishwa na kitendo hicho!!
Soma habari hapa: http://majira.co.tz/kurasa.html?soma=tanzania&habariNamba=737
Jamaa alijitahidi sana kuchambua ila sidhani kama leo anayaamini tena maneno yake!!!!After 10 years ya kikwete . Jamaa alichokiandiki ndio kilichotokea