Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

Kumbe hili libabui limeanza kutumika siku nyingi hivi,,,,,nimeamini huyu ni mwandishi kanjanja kuwahi kutokea dunia hii. Jipange babu
 
Kwa Uzi huu? Katumikaje sasa?
Alichofanya Kikwete ni hicho hicho anachofanya Dr Magufuli.
First impression!
 
enzi hizi mzee mwanakijiji haujakabidhi ubongo wako kwa mwenyekiti wa kijani.
 
Hii ndio inaonyesha rangi zao halisi, halafu kutwa lawama wanazipeleka kwa chadema, kwamba ndio chanzo, uzuri waswahili wanasema njia ya muongo ni fupi sana au za mwizi ni arobaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom