lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Weka picha ya shemeji tumuone kwanza. Hongera zake.
nialike nami nije kuwawekea mikono. Angalia wasiwafungishd ndoa ya shida na raha, kataeni kwan hapo ndio mlango wa shetani kupitishia vitu vyake. Hakikisha unatamka mema tu, sawaa? Sasa kaa kwny maombi ucku huu,na nami nakuombea zoezi lifankiwe ktk jina la yesu kristo, seama amen
Uweke na ulazi bhana tudumishe mila!
queen of bongo movie...
Lusekelo sakafu huyu huyu au ......?