Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Na kupotea ama kufa kwa ballali nani alisababisha?
Mnasema serikali itachukia nikisema watu wamechoshwa na usanii..Haya kwanini wasichukie wewe kupata ripoti kabla ya mkuu wa nchi?
Kwanini wasichukie kwasababu mmevujisha siri nyingi tu serikali?
Acha twist ukafikiri sisi ni shallow minded!
Mshindwe!
Haya tuendelee na Mjadala maana hamtaki nichangie KABISA!

Uliniuliza maswali yako nikayajibu vizuri sana kwa makubaliano kuwa nawe utajibu yangu.

Jibu swali langu, ni rahisi tu.

Nia yako ya kuitisha watu kwenda msituni na kumwaga damu tanzania ni ipi?
 
Unataka nikufanyie research kujua jina la mwanafunzi aliyekufa chuo kikuu cha Dar es salaam wakati ule wa upungufu wa maji?

Mama bado hujafikia uwezo wa kuniajiri kwa hilo, soma wewe na hao wenzako threads za JF na utalipata hilo jina. Unaweza hata kutumia search button hapo juu.

Next....

hakuna mwanafunzi aliyekufa, huo ulikuwa uzushi wako, tena ulisema mwanafunzi mjamzito!!! bingwa wa kutwist hapo ni kula break, akiwajibika Mushi kwa hilo unalotaka wajibike kwalo, na wewe hili itabidi uwajibike.

Siwezi kukuajiri bado u mwanafunzi, si ndio kwanza umemaliza spring semester.
 
hakuna mwanafunzi aliyekufa, huo ulikuwa uzushi wako, tena ulisema mwanafunzi mjamzito!!! bingwa wa kutwist hapo ni kula break, akiwajibika Munsi kwa hilo unalotaka wajibike kwalo, na wewe hili itabidi uwajibike.

Siwezi kukuajiri bado u mwanafunzi, si ndio kwanza umemaliza spring semester.

Unabisha kuwa hakuna mwanafunzi aliyekufa wakati wa mgogoro wa maji chuo kikuu?
 
Mwandishi huyu alizungumzia yale ambayo wananchi wengi wanasema!
Mbona Tanzania daima haiukufungiwa ama jf haikufungiwa?
Hiki kipande hapa kinasema wazi kuwa something about maisha ao kuwa mikononi mwa wananchi!

Vyombo hivyo visipofanyakazi yake kwa makini na ukweli, viongozi waliojiuzulu nyadhifa zao hawatakwepa hasira za wananchi, na maisha yao yatakuwa juu ya mikono ya Watanzania.

Watanzania kama kawaida yao ni wapole, hivyo upole wao usichukuliwe kama ni mazuzu.

Tanzania ni yetu, hakuna mgeni atakayetutengenezea amani na utulivu, kwani suala hili likichukuliwa kwa jazba, urithi wa amani yetu utabakia kama historia, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
 
Mwandishi huyu alizungumzia yale ambayo wananchi wengi wanasema!
Mbona Tanzania daima haiukufungiwa ama jf haikufungiwa?
Hiki kipande hapa kinasema wazi kuwa something about maisha ao kuwa mikononi mwa wananchi!

Unajua kuna tofauti ya Tanzania daima na JF?

Utajibu swali langu?
 
Unabisha kuwa hakuna mwanafunzi aliyekufa wakati wa mgogoro wa maji chuo kikuu?

nina uhakika hakuna mwanafunzi mjamzito aliyekufa wakati FFu walipowacharukia wanafunzi UD, kwa nini hukuwazushia kwamba FFu ndio wameua ukamkomalia Mukandala, unajua sana kutwist, wewe ni bingwa.

next kama ulivyoiweka pale inaashiria kuwa maji yamezidi unga,ni kawaida any way, i understand. Have a nice day!
 
Swali la msituni liishe la sivyo nita complain kwa MODS...Mods tafadhali...Maana walifanya mbinu thread ile nyingine ikafungwa mara baada ya kuzidiwa hoja na kina Mwana TANU,Kuhani,Kubwajinga,Mama na wengineo!
Kama alivyoshauri Mkuu Kuhani...Kambi ya wazalendo tumaintain DISCIPLINE!
TIME IS ON OUR SIDE!
 
nina uhakika hakuna mwanafunzi mjamzito aliyekufa wakati FFu walipowacharukia wanafunzi UD, kwa nini hukuwazushia kwamba FFu ndio wameua ukamkomalia Mukandala, unajua sana kutwist, wewe ni bingwa.

Na hii inahusiana vipi na lile la mwanafunzi aliyekufa wakati wa mgogoro wa maji?

next kama ulivyoiweka pale inaashiria kuwa maji yamezidi unga,ni kawaida any way, i understand. Have a nice day!

Losers mara nyingi hutumia lugha yako. Have a nice day too Mama.
 
Na hii inahusiana vipi na lile la mwanafunzi aliyekufa wakati wa mgogoro wa maji?

Losers mara nyingi hutumia lugha yako. Have a nice day too Mama.

thanks to you not only loser but also mzushi and spin doctor!
 
Unategemea kujibiwa kabla hujajibu hapa swali nililokuuliza?

Mbinu iko wazi...Lowassa alijiuzulu...Akasafishwa na Kikwete na kina Killango!
Haya...Sasa unataka JK ajiuzulu ili asafishwe na Killango na ZItto ambaye upinzani una imani naye!
Huko sipo!
TAIFA NI LETU WOTE NA WE DEMAND THE ANSWERS NOW!
 
Natumaini hausemi kuwa unademand kwa kwenda msituni na kumwaga damu ili upate answers!
 
...Kambi ya wazalendo tumaintain DISCIPLINE!

Amen.

Good job Mushi.

We won't stoop to mudslinging tactics. Bear in mind, kuna JF Mtandao, hapa. We're up against them and the referees. So, just push back with dignity and honor.
 
sio std mpya! kwani kuzungumzia suala la msituni maana yake ni nini? kama hujui basi wewe unafufua ishu chochezi kama ilivyodaiwa mwanzo.

nimeona wengine wanajifanya, ati walikuwa hawajui kama kuna kitu kama hiyo......hivi ni lini sisi tutakuwa?

MKuu huu ni mtizamo wako. TOfauti yako na mimi, mie sitakuita the worst person kwa kuhukumu mtizamo wako.

Mimi naamini kuwa Mushi hana nia njema na JF kwa vile analeta habari za uchochezi hapa jamvini kwa nia ya kumwaga damu. Kama huu usipokuwa ufisadi kwa kiwango changu, basi kuna safari ndefu sana ya kupima mafisadi hapa ambao wewe umekuwa unapambana nao kwa muda mrefu.
 
sio std mpya! kwani kuzungumzia suala la msituni maana yake ni nini? kama hujui basi wewe unafufua ishu chochezi kama ilivyodaiwa mwanzo.

nimeona wengine wanajifanya, ati walikuwa hawajui kama kuna kitu kama hiyo......hivi ni lini sisi tutakuwa?

Kweli bana...HII NDIO POINTI MKUU!
Watu huenda msituni kwa nia tofauti tu!
Yeye ndiye anayeniweke maneno mdomoni.
Vipi kama ni kwenda kukata kuni?
Ama hata kuchimba mzizi?
MWK tulia bana maana tumekamata pabaya sana!
FMES Naye naona anasubiria kwa hamu uutelezeshe mjadala huu kama mlivyofanikiwa kwenye ule mwingine na kusababisha INVISIBLE AINGILIE NA KUUFUNGA!
 
Amen.

Good job Mushi.

We won't stoop to mudslinging tactics. Bear in mind, kuna JF Mtandao, hapa. We're up against them and the referees. So, just push back with dignity and honor.

Kuhani, kama kuna JF mtandao, na huu wingi wako na hiyo timu ambayo iko up against "them" ni mtandao au ni JF - mtandao B?

Kama wewe na MUshi mna mtandao wenu, kuna makosa wengine pia wakiwa na mtandao wao?

By the way, issue ya kusema kuwa referees wako against your team (mtandao?) ni very biased if you know what I mean. SIo fair kwa hao unaowaita marefa ambao watu wengi hapa JF tunashukuru sana kazi yao wanayoifanya kwa kujitolea lakini kwa moyo mkuu na ufanisi mkubwa.
 
Back
Top Bottom