Hatimaye JK achemsha tena kumbukumbu za mashujaa!

Hatimaye JK achemsha tena kumbukumbu za mashujaa!

hahaaa sitaki kumcheka rais, lakini hii ni aibu mkuu wangu wa nchi...au ulifikiri wananchi wangekuuliza kuhusu UMEME??? Mbona sisi tumekubaliana na giza...ila ujue mwisho wake ni 2015..
 
nilikuwepo hapo viwanjan naliendele, huo ulinzi jamani wa2 mnapekuliwa utadhani nchi iko kwenye machafuko, unaingia mkanda wa suruali mkononi, watanzania tumefikia hapa raisi haamini tena wa2 wake!!
 
Mkuu nikumbushe kumbukumbu za mashujaa wepi tena..nchi hii kila kukicha sherehe wakati nchi iko GIZANI!
 
tushukuru Mungu kwamba leo hajadondoka, manake na yeye mmhh.!!!
 
kashapaniki anajua saizi kila anachokifanya watz walishamdharau kwa hiyo anajisikia aibu. Pia naona nchi imemzidi
 
Mkuu nikumbushe kumbukumbu za mashujaa wepi tena..nchi hii kila kukicha sherehe wakati nchi iko GIZANI!
Ni wale wazee wetu walio chakazwa njugu na wareno, washonana na Na askari wa Nduli Idd Amin kule Uganda. Nimesikitika vile VascoAmemtaja Nduli Idd Amin. Hata watoto wanaojifunza history hawataelewaKitu. Amesema "majeshi yetu yaliyo mng'oa idd Amin" bila ufafanuzi. Wowote! Yani Ni Kama anamweshimu Hivi!
 
kwani vasco dagama 1 alikuwa na hali dhoofuu... Na alikuwa akitumia majahazi.....
 
Bora hasinge rudi maana kurudi ndio kunaonyesha kuwa alisahau, bora angejifanya kuwa ndio mtindo wake badala ya kuonyesha kuwa hana kumbukumbu, Nadhani sasa hivi nchni inaongozwa na Luhanjo na watu wake.

Hee! Hivi mkuu, wewe ulikuwa bado unaamini kuwa prezidaa ana kumbukumbu? Angekuwanazo si angekumbuka ahadi lukuki alizoahidi waTZ tangu 2005?
 
tatizo la huyu jamaa ni moja........yuko too bize for nothing...

ndio maana anasahau hata protocol....shida kweli.....
 
its a pity that the nation does not have a president for a decade...poor Tanganyikans....!
 
Ule ugonjwa wa kuanguka unasabisha hali hiyo ya kusahau sahau, si mnakumbuka mara ya mwisho alipoanguka pale jangwani alipozinduka alikiri kuwa hakumbuki aliishia wapi katika speech yake, na sasa hivi mieleka ni mingi hivyo hata ubongo umetindia sana tumsameheni bure mbayuwayu wetu jamani.
 
kweli angekausha tu ikawa imetoka aliporudi ndo akaharibu kabisa,.
 
hakumbuki mengi ndo maana haoni shida za wananchi wake
 
Mi nilimuona kashuka stejini, dakika 0 kapanda tena coz kulikuwa na mawimbi sikuweza kusikia nini kiliendelea, kumbe alisahau kusalimia/kutambulisha maboss wake!! duh hii nayo kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom