VIDEO ZPO POLISI WAKIWAPIGA RISASI WATU AMBAO HAWANA SILAHA MPAKA WATOTO WADOGOICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
Mtafute Chizi Maharifa mtukanane mazee si wengine hatujakulia maisha ya hovyo hovyo na hatuishi maisha ya hovyo hovyo ya kukosa ustaarabu wa kutukana watu hovyo...Ad hominem fallacy
Umeshidwa kujitetea na upuuzi ulijaribu kuuleta hapa sasa unanishambulia binafsi
Typical akili za kibongo
Kwahiyo unaumia nikisema niliishi nusu ya maisha yangu nje
Mimi wa kawaida sana tu ndio maana nikiona mtu kaandika upotoshaji namtukana sina muda wa maelezo mengi
ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.
Watakuuliza unajuaje kama ni waandamaji ndiyo walichoma mabasi nk, unafikiri wameanza na Tanzania tu? Kwani katiba ya Phillipinnes inaruhusu madawa ya kulevya? Duterte aliwachapa risasi cold blooded hao watu na ameshikwa!ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
Mna kelele! Ila hamjifunzi tu kila mnalotamani liwe haliwi. Mmefanya Ramli weeeee tokea mkiwa vijana mpaka mnajizeesha kabla ya muda wenu. Hili nalo litapita hivihiviTuliwaambia wakati wa AU summit Kombo aliambiwa ICC wanataka majibu ya summons haraka mkajifanya much know.
Mamlaka yapi hayo unayoyazungumzia amepewa huyo kilaza wakati watz walio wengi hawakutoka kwenda kumpigia kura?!.ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.
Hiyo kazi yenu ya kutafutiza umbeya ndo waiona nyepesi!Sisi kazi yetu ni nyepesi sana kuwaletea ujumbe, kazi yenu kubwa mliyonayo ni kukanusha.
porojo na gazeti nonsense
Tanzania haina ubavu wa kuikatalia visa ICC kwa uchumi gani mlionao.Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Tangu ujue maana ya nonsense kila muda unalitumia.porojo na gazeti nonsense
Steven,ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.
Kazi yenu ya kukanusha ni ngumu sana mtamuua mama kwa presha, kanusheni na hii...Swali kuu ni wanakuja kwa ruhusa ya nani?
Na wakikataliwa kuja je ?
Swali kuu ni wanakuja kwa ruhusa ya nani?
Na wakikataliwa kuja je ?
Kanusha FC kanusheni na hii au hamjapewa script.ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
AiseeMagazeti yanapenda kupita na upepo huwa sipendi kuyaamini hata kidogo
Kanusha FC kanusheni na hii ila kazi ya kusafisha damu ni ngumu sana.. waambieni wawaongezee dau lini mtaanza kukanusha hili la banyamlenge.ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.
Nimewaambia kazi yetu ni kuwasogezea habari, kupambana na habari mnapambana nyie lingine hilo kazi kwenu, wapuuzi nyie.Mwanahamisi hilo kwa Uongo balaa