Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
hizo bank zinatoa wapi pesa ya kuikopesha serikali na zikishaikopesha wananchi watakopa wapiMuhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
YAANI HUU UKOSEFU WA HELA MACHIZI WAMEONGEZEKA KWELI TOKA KUNDI LA WASOMI HUKU KIJIJINI KWETU KUNA AFISA KILIMO KAITISHA MKUTANO AKASEMA DALILI YA MAWINGU WANANCHI WAKASHINDWA KUJIBUKunawakati wasomi wetu ni janga kuliko kawaida wasomi badala ya kupeleka ushauri namna ya kunusuru uchumi anashangilia serikali kukopa
Elimu haina mwisho ila mawazo ya binadamu yana ukomo nae huyu msomi wetu mawazo yake ndo yalipo ishia
kwa hiyo fedha ziko mabenki siyo kwa wapigadili wamezifukia kwenye lumbesa ardhini na vitisho vya kubadilisha fedha kumbe ni utapeli wa kisiasa?Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Fedha zipo ila kwenye masanduku "BOT" zinakula kiyoyozi.kwa hiyo fedha ziko mabenki siyo kwa wapigadili wamezifukia kwenye lumbesa ardhini na vitisho vya kubadilisha fedha kumbe ni utapeli wa kisiasa?
Nachelea kuliamini hili,ingawa limetolewa na muhadhiri na msomi. Najiuliza,serikali ikikopa kawaida ulipaji wake ni mbinde,mabenki karibia yote yako kwenye crisis ya deposit. Maana yake ratio ya mikopo na deposit ni mbovu mno. Sasa,serikali ikikopa mabenki yetu haya,tutarajie mabenki kuanguka,kuanguka kwa mabenki kutaongeza mzunguko wa pesa kweli!!! Ngoja tusubiri tuone.Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Ha! Ha! Ha!YAANI HUU UKOSEFU WA HELA MACHIZI WAMEONGEZEKA KWELI TOKA KUNDI LA WASOMI HUKU KIJIJINI KWETU KUNA AFISA KILIMO KAITISHA MKUTANO AKASEMA DALILI YA MAWINGU WANANCHI WAKASHINDWA KUJIBU
Bahrain haina DeniHakuna nchi isiyokopa duniani
Kwani sababu si ilikuwa vibubu vya nyumbani?Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Hongera kwaoBahrain haina Deni
Wapiga Dili wanahaha Kama Mapaka ya Rose Garden mkuu.
Mytake: Maisha ni Ufunguo wa Elimu.
Nafikiri zimeshaanza. Milioni 300 zimeshaingia kwenye mzunguko.....Tunamshukuru Profesa wa uchumi kutuletea fedha mzungukoni...Sijui itaanza lini,mfukoni jua kali balaaa!!!