Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop
Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
Wee Mod, hebu nifungulieni Jukwaa la Wakubwa Haraka sana.. Tangu jana silioni.
Isijekuwa huto tupicha tumewadanganya mkafikiri mimi ni anda eji... Ebo!!
I love you my sweetie BADILI TABIA. Na kuonyesha kuwa penzi langu kwako si la kubabaisha, nshanunua kabisa hii makitu.... Come this way my wife material..... Wenye wivu wameze nini darlie?unajua mie sijui kuacha?
nikimchukua moja kwa moja usilie
...Hongera mkuu..kwa kupata Umod..nitafute tugonge cheers. Erickb52Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop
Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
Mr Rocky tatizo kuna watu mnaniingilia sana namimi imenibidi niutafute Umod kwa udi na uvumba ili kujilinda na maharamia wa Mapenzi so kama unahitaji nikuachie Yummy we nambie ntakusamehe na ntakuachia tu kwa moyo mmoja ingawa inaniumaErickb52 wacha kujiuma uma kama una jeuri chukua hatua sio kusema mambo ya kiporo hapa
Huo umod sijui oumezawadia ili utishe nao watu
..sawa sawa kabisa..pamoja..kila la kheri katika jukumu lipya...lakini unatakiwa kuwa na sifa zipi za kuwa Mod.?@Erickb52Asante sana mtu chake
We ni ndugu yangu so hutakuwa na mgogo na mimi ila ambao hawajatulia ndio mgogoro
Hahahahaaa jivue gamba lol BADILI TABIA ni mashine ya hatari lolKumbe huna mana wala hiyana khaa! endelea na babu lako Asprin ndo anakufaa zaidi,akupindue anavyotaka umezidi kwanza kuwachanganya:dance:
Mi ninazo ndio maana Invisible kanikubali sana tu sema bado hawajanipa lile bango la Moderator..sawa sawa kabisa..pamoja..kila la kheri katika jukumu lipya...lakini unatakiwa kuwa na sifa zipi za kuwa Mod.?@Erickb52
I love you my sweetie BADILI TABIA. Na kuonyesha kuwa penzi langu kwako si la kubabaisha, nshanunua kabisa hii makitu.... Come this way my wife material..... Wenye wivu wameze nini darlie?
Tafadhali pokea mabusu yangu toka moyoni. Najua kina Yummy, CUTE, Mamndenyi Kongosho my asali ya ODM, Erickb52, Kaizer na gfsonwin watakuwa wanatuonea wivu.
Msalimie pacha wako cacico, utaniruhusu naye nimmiminie haya mabusu?
Duh kweli ametuchanganya sanaKumbe wakati wote ulikuw aunajifanya rafiki kumbe unamzungukia my wife wangu Yummy
Kwa taarifa yako Yummy ni my wife wangu na hutokaa umpate milele
Yummy my wife wangu my sweet potato hebu njoo pande hizi umuangalie Erickb52 anavyoongea mambo ya ajabu hapa
Mi ninazo ndio maana Invisible kanikubali sana tu sema bado hawajanipa lile bango la Moderator
In short niko kwenye probation