Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Yes, si unajua leo jumapili, nimeshinda kanisani. Nimekuombea uache kugombaniwa. Hayo mapepo yakutoke unaki na wako wa moyoni.
Teh wanagombania utamu
Hujaomba wa moyoni ubaki wewe?
 
Mimi sijaona utamu wako, teh teh teh. Nimeomba ubaki na wako wa moyoni. Kama ni mie poa tu.

Hahahaa hujaona utamu aje?
Zile kelele zote huwa za nini sasa?
Lol
 
Hahahaa hujaona utamu aje?
Zile kelele zote huwa za nini sasa?
Lol

Nilikuwa nakuzuga tu, usijisikie vibaya. Mwanaume ulijitoa hafu nisionyeshe hisia? niliona sio poa. Basi nikashikamana lakini zuga tu.
 
Nilikuwa nakuzuga tu, usijisikie vibaya. Mwanaume ulijitoa hafu nisionyeshe hisia? niliona sio poa. Basi nikashikamana lakini zuga tu.
Hahahahaa zuga gani ulitaka kila saa lol
Hii kitu hii kitu noma
 
Wala huna lolote.........nilikuwa nataka unipende umwache bi mkubwa Amyner.

Hahahahaa kumwacha ngumu lol
Nimetoka nae mbali hata kabla ya jukwaa la wakubwa halijaanzishwa
 
Hahahahaa kumwacha ngumu lol
Nimetoka nae mbali hata kabla ya jukwaa la wakubwa halijaanzishwa

Ndio maana nilikubali matokeo. Nimebwaga manyanga, nawatakia kila la kheri!
 
Mapenzi ya kinyonga wala siyataki, leo pamoja kesho naonekana adui eti si mwema kwa bi mkubwa.
nnani anataka mapenzi ya kujificha? akhuuu.....sitaki mie.
Ila mapenzi yetu na we ni daima usiogope
 
Mapenzi ya kinyonga wala siyataki, leo pamoja kesho naonekana adui eti si mwema kwa bi mkubwa.
nnani anataka mapenzi ya kujificha? akhuuu.....sitaki mie.
Hehehe ukizidiwa utakuja mwenyewe
 
Bora sijatajwa naendelea na libeneke langu hapa
My wife wangu Yummy uko wapi njoo hutu tule raha

Darling hubby, my sweet potato Mr Rocky nimekuja,siunajua tena baby Tuli akianza usumbufu wake ananikosesha amani kabisa.......

Huyu Erickb52 asitake kutuvunjia unyumba kwanza kabla hajaanza kuvamia anga za watu awe anaulizia nani mmiliki alaaah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…