Hapa namsubiri Le Mutuz atoe pumba zake! W2 wengine hamnazo kweli,mimi nina kadi ya NCCR,CCM & CDM lakini mimi ni CDM damu! Mbona Six na Kajembe wana kadi za CCK & CCJ? Nape aje hapa akanushe kuwa hana kadi ya CCK na mfu CCJ? Sisyem in action! Just keep on shouting! The killer M4C is behind you....