Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

Mtoto wa kiume unapenda sana kucheka...mie nachangia thread nyingi na majukwaa mengi nipo...naona mzimu wa Ritz, unazidi kukutafuna na bado.

Mkuu unajua wewe ni Bonge la POYOYO na huwa napenda sana kusoma Post zako kwa sababu Nafanya research ili nigundue Ulizaliwa Msimu gani. Msimu wa Maembe kutoa Maua au Msimu wa Maembe kuliwa na wadudu. Kwa hiyo mkuu usinichoke
 
Last edited by a moderator:
Kadi inanunuliwa na mwanachama, na usipoilipia muda kadhaa unakuwa mwanachama mfu! Swala la kuirudisha au la, ni mapenzi ya mtu, maana ile inakuwa ni mali halali ya mwanachama. Mwacheni vuvuzela nepi ahangaike na kupiga ngumi upepo, mwisho atachoka mwenyewe.
 
...hivi, Nape alisharudisha vifaa vyote alivyokua amekabidhiwa kwa ajili ya kuendesha ofisi za CCJ?
[MENTION]
Lwikunulo[/MENTION] Haya ndiyo maswali ambyo Dr. Slaa alipaswa kumhoji badala ya kukubaliana na kuingizwa "kingi"...............na mpayukaji huyo........Dr. Slaa katuangusha sana
 
dr slaa hata kwenye mdahalo wa uraisi ambao kikwete alikimbia mbio alishawahi sema anayo kadi ya ccm kaiweka kama kumbu kumbu ina mana nape alisahau siku zote hizo hadi mwaka huu ndio katizama hiyo clip?... ccm inaweza kuwa chama kizuri ila kina watu wabaya kama jk. nape, Ritz , zomba na wengine wengi wote...
 
Last edited by a moderator:
MBONA MIE NINA KADI YA UMOJA WA VIJANA WA CCM JAPO KWA SASA NDO INATUMIKA KUKAMATIA SUFULIA WAKATI WA KUSONGA UGALI INAMAANA NAYO WATANIDAI NIIRUDISHe???????
 
Mi mwenyewe bado nina kitambulisho cha secondary japo nipo chuo, it remains invalid as long as nlishamaliza secondary
 
Ndiyo slaa ni active member na analipia ada zote za wamachama huko anazuga tuuu kwa ushahidi njooni mjengoni mpewe data zote.na c slaa tu lipumba,hamad,zito,mbowe wote ni wanaccm
kuliko kubweka tu unatakiwa kujua walau katiba ya chama chako kwanza kabla hujaropoka kama huyo kilaza mwenzako Nape katiba ya ccm ibara ya kumi sehemu ya 1 kuhusu sifa za mwanachama inasema mtu akichukua kadi ya chama kingine amejifuta uanachama sasa wewe na NEPI mnaporopoka ina maana hamsomi katiba yenu au dr slaa kipengere hicho cha katiba hakimhusu epuka kuonesha upumbavu wako mbele ya umma.
 
Mkuu unajua wewe ni Bonge la POYOYO na huwa napenda sana kusoma Post zako kwa sababu Nafanya research ili nigundue Ulizaliwa Msimu gani. Msimu wa Maembe kutoa Maua au Msimu wa Maembe kuliwa na wadudu. Kwa hiyo mkuu usinichoke

Mie nachopenda kwako una sifa ya HINDI kila jino kukutafuna...wewe kweli lukurungulu.
 
Ndiyo slaa ni active member na analipia ada zote za wamachama huko anazuga tuuu kwa ushahidi njooni mjengoni mpewe data zote.na c slaa tu lipumba,hamad,zito,mbowe wote ni wanaccm[/QUO

Acha kujifariji wewe unaweza kusema hata Obama ni rais wa Kenya kisa kazaliwa kenya
 
Back
Top Bottom