imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,405
Mbona huhamii Chadema?!Sasa nifahamishe ubaguzi wangu uko wapi? Huyo si Mrema?
Mbona huhamii Chadema?!Sasa nifahamishe ubaguzi wangu uko wapi? Huyo si Mrema?
Kicheko cha nini ?Hatimaye Chadema yateka vijiji
- Thread starter Erythrocyte
- Start date Today at 1:14 AM
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
CDM ilivyoteka "VIJIJI"Kicheko cha nini ?
Tutakupokea na kukuongezea Marupurupu.Utasubiri sana.
asiwe na hofu , kitimoto hamnaTutakupokea na kukuongezea Marupurupu.
View attachment 997653
Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima
Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Mungu ibariki Chadema
2020 utakua mwaka mzuri sana kuishi Tanzania. Tutaona na kusikia mengi.
I can't wait.
Chadema finished
Wananchi tupo na Chadema
Faiza Forxy hajui chochote kuhusu politics,but she know a lot about Islamic!Utasubiri sana.
Ilipo CHADEMA na Mungu yupo.
Hiyo T-shirt Kali sana, wapeni wamachinga watutembezee na mpunguze bei,si chama kina ruzuku? Uzeni hata kwa ten ten.ambayo ni affordable.