mechard Rwizile
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,571
- 875
Moyo pakaa razo za chamdema ndio utakao uamru mwili kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi. Hii ni dalili njema sana.
Moyo pakaa razo za chamdema ndio utakao uamru mwili kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi. Hii ni dalili njema sana.
Samahani nilitaka kusema " Moyo ulioamua kupakaa hizo rangi za CHADEMA, ndio utakaouamru mwili kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.Moyo pakaa razo za chamdema ndio utakao uamru mwili kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi. Hii ni dalili njema sana.
Kwa mkango mmoja huo au na wewe utaeeka rangi mlango wako?Moyo pakaa razo za chamdema ndio utakao uamru mwili kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi. Hii ni dalili njema sana.
Samahani nilitaka kusema " Moyo ulioamua kupakaa hizo rangi za CHADEMA, ndio utakaouamru mwili kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
hata mimi nawaona
Hata akituma Askari wake waje watung'ate tunaondoka na Meno.2020 kazi IPO .
Hata akituma Askari wake waje watung'ate tunaondoka na Meno.
Hahahah samahani sana Mmawia nchi ni yetu sote ila nimeshuudia kwa macho yangu watu wakipigwa kwa kuvaa t-shirt za Chadema.Wacha mawazo ya kipunguwani wewe kwani unadhani hii nchi ni ya kwenu pekee yenu ma ccm?
In God we Trust
Hahahah samahani sana Mmawia nchi ni yetu sote ila nimeshuudia kwa macho yangu watu wakipigwa kwa kuvaa t-shirt za Chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema piaHuo ndiyo upuuzi ambao kwa sasa hatutaruhusu utokee maana akuanzaye wewe mmalize kabisa
In God we Trust
Kabisaaa kila mtu anayo nafasi sawa na mwingine.Hakuna mwenye hati miliki ya kuitawala Tanzania
In God we Trust
Imekatazwa lini?
CCM haijawahi jenga ofisi hata moja zaidi ya kuporaHuyo mwenye nyumba ya majani asahau kabisa kuwa na nyumba ya bati endapo CHADEMA ikishinda kwani Chama hakina akili ya kujenga Ofisi yao sasa wataweka mazingira gani ya mtu kujenga nyumba yake? Wataanza kujenga Ofisi zao Nchi nzima na kufumba na kufumbua miaka 5 inaisha hawajafanya chochote.