Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Elimu bure kutoka ccm
In God we Trust
In God we Trust
Unajua nitasema nini.
Haya kama hizo ndio juhudi, tunaweza sema "KAZI IMEANZA", na sio 'IMEKWISHA'!!
TAHADHARI: unahakika na usalama wao huko vijijini kwa kuwaonyesha bayana hivi? Mengine yanafaa kufanywa ki'gurrilar' hivi kwenye maeneo kama hayo, na siyo kujitangaza bayana kungali alfajiri hivi!
Hivi mtajifunza lini Erythro, na huku mkijua adui asivyokuwa na simile na uvumilivu!
Eee bwanae ofisi imebaki na mbuzi tuuu.
Kumbe Chadema bado ipo,mm huwa nasikia tu wapo Mahakamani
Kwa jinsi Magu alivyo li "terolise" taifa" upinzani msitarajie kitu. Mtapigwa wazi wazi na kunyang'anywa haki na halali zenu nyingi pasipo msaada. Rejea chaguzi ndogo zilizo pita.
Zimechorwa mapanga kwa kutumia damu ya R.I.P. Akwilina, Mbowe bora azeeke huko aliko!Hiyo T-shirt Kali sana, wapeni wamachinga watutembezee na mpunguze bei,si chama kina ruzuku? Uzeni hata kwa ten ten.ambayo ni affordable.
Nyumba kwa Nyumba Mlango kwa mlango kimya kimya tunamkimbiza mwizi wetu wa 1.5 tr
Jiwe akiona hivyo lazima apaniki!!
Kazi imekwisha lakini katika Kata zaidi ya 130 nchini zilizofanya Uchaguzi mdogo tangu 2016, mmeambulia Kata chini ya Tano, kweli?
Inawezekana hata hii shule ilijengwa wakati wa utawala wa chademaHuyo mwenye nyumba ya majani asahau kabisa kuwa na nyumba ya bati endapo CHADEMA ikishinda kwani Chama hakina akili ya kujenga Ofisi yao sasa wataweka mazingira gani ya mtu kujenga nyumba yake? Wataanza kujenga Ofisi zao Nchi nzima na kufumba na kufumbua miaka 5 inaisha hawajafanya chochote.
Pigeni kambi kanda ya ziwa, wapiga kura kibao Mara, Mwanza, Simiyu, Shy, Geita, Kagera, Mkipenda na Tabora. Kambi haswa
Pamoja na hiyo Apparatus yao ya kutuwinda na Povu la Ndugai lakini Chadema kinasonga.
Hakuna lolote mlichonacho, Chadema ni chama kinachoendesha na mtu mmoja tuu, naye ndio battery ya chama, sasa tokea Battery ipelekwe segerea naona Chadema aipigi start na haiwezi kwenda popote.
Hata zile spikers kubwa hazitowi sauti tena, hakuna charge ama moto.
Wandugu sii mumpelekee cheki book yake amisainie matumizi.
Hatuwasiki wale viroba humu, hatuwasikii tena akina Lema, Msigwa, Mnyika, Sugu, nk............
Chadema imeja wachumia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo wewe, nani mwenzako. Mwenye chama yupo segerea, kiongozi gani uliyemuona akizungumza. Aliyebaki kutupa mawe ni huyo aliyekuwa njee ya nchi na anayetibiwa majeraha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika!Ilipo CHADEMA na Mungu yupo.
Utaivalia chumbani asee la sivyo mkon'goto unakungojeaHiyo T-shirt Kali sana, wapeni wamachinga watutembezee na mpunguze bei,si chama kina ruzuku? Uzeni hata kwa ten ten.ambayo ni affordable.