Hatimaye Chadema yateka vijiji

Hatimaye Chadema yateka vijiji

Huyo mwenye nyumba ya majani asahau kabisa kuwa na nyumba ya bati endapo CHADEMA ikishinda kwani Chama hakina akili ya kujenga Ofisi yao sasa wataweka mazingira gani ya mtu kujenga nyumba yake? Wataanza kujenga Ofisi zao Nchi nzima na kufumba na kufumbua miaka 5 inaisha hawajafanya chochote.
Mbona ccm haijamjengea nyumba ya bati halafu unavimba kichwa kwamba asahau kujenga nyumba ya bati? Umaskini wa watz ulisababishwa na Chadema au ccm! Kama kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mkango mmoja huo au na wewe utaeeka rangi mlango wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi kuweka rangi au kutoweka hakuna maana sana, lakini picha inayoonekana inaamsha furaha na matumaini kwa watu ambao tumenyanyaswa na kubezwa kila kuchao. Wakati kuna watu wanaondoka kwa sababu za maslahi ya leo na keshokwa kwa visingizio kuwa wanaondoka kwa sababu ya ugomvi wao na Mbowe au kamati kuu, wajue kuna watu wanasalitiwa. Mwenye nyumba hii ni miongoni mwao.
 
View attachment 997653

Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima

Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Kazi wanayofanya chadema kwa sasa kweli kazi imekwisha juzi nimekutana na mzee mmoja aged 66+ askari mstaafu akizunguka nyumba kwa nyumba nahisi ilikuwa kazi maalumu. Jiwe akijua hili sijui atawakaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwenye nyumba ya majani asahau kabisa kuwa na nyumba ya bati endapo CHADEMA ikishinda kwani Chama hakina akili ya kujenga Ofisi yao sasa wataweka mazingira gani ya mtu kujenga nyumba yake? Wataanza kujenga Ofisi zao Nchi nzima na kufumba na kufumbua miaka 5 inaisha hawajafanya chochote.
Unataka aendelee kuichagua ccm wakati ndio imemfikisha hapo alipo baada ya miaka zaidi ya 55 ya Uhuru!
 
View attachment 997653

Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima

Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Acheni kujidanganya mitandaoni, ukweli ni kwamba wananchi wametishwa sana maeneo ya vijijini na kata zilizoko pembezoni, na hili la makusanyo ya halmashauri kurudishwa serikali kuu ni mwiba mkali kwa CDM
 
View attachment 997653

Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima

Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Baada ya siku mbili unaibuka ukidai mmezuiliwa kufanya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom