Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,493
- 17,534
Mjomba punguza jazba. Huu ni mwanzo tu wa kuelekea 2020.Hongereni kuteka Kijiji ambacho hakina hata picha ya mwanakijiji mmoja.Hongereni kwa Photoshop ya Kijiji hewa.Ruzuku mumeshaibomoa tayari kwa picha hewa isiyo Na mwanakijiji hata mmoja ku justify wizi wa ruzuku kutwa mlikuwa kijijini Nyasa!!! Aisee chadema wezi
