fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Pigeni kambi kanda ya ziwa, wapiga kura kibao Mara, Mwanza, Simiyu, Shy, Geita, Kagera, Mkipenda na Tabora. Kambi haswa
Pamoja na hiyo Apparatus yao ya kutuwinda na Povu la Ndugai lakini Chadema kinasonga.Jiwe akiona hivyo lazima apaniki!!
Hakuna lolote mlichonacho, Chadema ni chama kinachoendesha na mtu mmoja tuu, naye ndio battery ya chama, sasa tokea Battery ipelekwe segerea naona Chadema aipigi start na haiwezi kwenda popote.View attachment 997653
Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima
Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Muongo wewe, nani mwenzako. Mwenye chama yupo segerea, kiongozi gani uliyemuona akizungumza. Aliyebaki kutupa mawe ni huyo aliyekuwa njee ya nchi na anayetibiwa majeraha.Wananchi tupo na Chadema
Impossible, God is never with FIRNICATORSIlipo CHADEMA na Mungu yupo.
Tutaona mengi ila tatizo upinzani umewekeza kwenye kuongea zaidi badala ya kujiimarisha kwenye kutafuta wanachama mijini na vijijini, pia kuwekeza kwenye ilani zao ili wananchi tujue vizuri kama tukiwapa nchi watafanya nini cha ziada tofauti na hii serikali iliyopo madarakani.2020 utakua mwaka mzuri sana kuishi Tanzania. Tutaona na kusikia mengi.
I can't wait.
Uzuri atakua anaowapiga sio mbuzi au punda ni watu.Kwa jinsi Magu alivyo li "terolise" taifa" upinzani msitarajie kitu. Mtapigwa wazi wazi na kunyang'anywa haki na halali zenu nyingi pasipo msaada. Rejea chaguzi ndogo zilizo pita.
uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita Chadema ilishinda uenyekiti kwenye kijiji anachoishi Magufuli huko Chato , pembe la ng'ombe halifichiki , Sina Hakika ka Mkuu Kalam 1 unatembea vijiji vya Tanzania , mimi kijiji changu kinaitwa Kajunjumele kiko wilaya ya Kyela , ni kijijini hasa ! ccm tuliuwa kitambo kabisa kule .Unajua nitasema nini.
Haya kama hizo ndio juhudi, tunaweza sema "KAZI IMEANZA", na sio 'IMEKWISHA'!!
TAHADHARI: unahakika na usalama wao huko vijijini kwa kuwaonyesha bayana hivi? Mengine yanafaa kufanywa ki'gurrilar' hivi kwenye maeneo kama hayo, na siyo kujitangaza bayana kungali alfajiri hivi!
Hivi mtajifunza lini Erythro, na huku mkijua adui asivyokuwa na simile na uvumilivu!
Hongereni kuteka Kijiji ambacho hakina hata picha ya mwanakijiji mmoja.Hongereni kwa Photoshop ya Kijiji hewa.Ruzuku mumeshaibomoa tayari kwa picha hewa isiyo Na mwanakijiji hata mmoja ku justify wizi wa ruzuku kutwa mlikuwa kijijini Nyasa!!! Aisee chadema weziWananchi tupo na Chadema
acha kumhusisha Mungu na upumbafu wa mwanadamu!Ilipo CHADEMA na Mungu yupo.
Kweli Magufuli kiboko...John Mrema amejikondea kweli safari hii maana ruzuku sasa hailiwi ovyo ovyo kama siku za nyumaView attachment 997653
Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima
Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Kwa akili ya msiba unaweza kujivunia chaguzi za mauaji ? unatakiwa uwe maiti kichwani kwa kupofushwa , nakuonya mara ya mwisho usije ukaja kutulilia , " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU "Kazi imekwisha lakini katika Kata zaidi ya 130 nchini zilizofanya Uchaguzi mdogo tangu 2016, mmeambulia Kata chini ya Tano, kweli?
Acha wivu. Kwa kifupi Chadema inakubalika hadi kwenye vitongoji. 2020 kuiba kura itakua ngumu sanaMuongo wewe, nani mwenzako. Mwenye chama yupo segerea, kiongozi gani uliyemuona akizungumza. Aliyebaki kutupa mawe ni huyo aliyekuwa njee ya nchi na anayetibiwa majeraha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo kazi yake ni kusukuma damu tu mjomba
Acha wivu. Kwa kifupi Chadema inakubalika hadi kwenye vitongoji. 2020 kuiba kura itakua ngumu sana
Utakufa kwa kihoro! Mmemuweka Mbowe ndani lakini ndio kwanza Chadema inazidi kuimarika na kusonga mbeleitakuwa ngumu kwa sababu gani? kwa akili zenu bado mnaamini kuwa 2020 mtashinda uchaguzi? akili zenu mwazijua wenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa imeimarika? duhhhUtakufa kwa kihoro! Mmemuweka Mbowe ndani lakini ndio kwanza Chadema inazidi kuimarika na kusonga mbele
unajichanganya sasa , kama hela hakuna wachumia tumbo wanatoka wapi ?Hakuna lolote mlichonacho, Chadema ni chama kinachoendesha na mtu mmoja tuu, naye ndio battery ya chama, sasa tokea Battery ipelekwe segerea naona Chadema aipigi start na haiwezi kwenda popote.
Hata zile spikers kubwa hazitowi sauti tena, hakuna charge ama moto.
Wandugu sii mumpelekee cheki book yake amisainie matumizi.
Hatuwasiki wale viroba humu, hatuwasikii tena akina Lema, Msigwa, Mnyika, Sugu, nk............
Chadema imeja wachumia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi wachumia lofindo ati?!Chadema imeja wachumia tumbo