Hatimaye Boss kaoa

Lipo tatizo kwako. Unafikiri kwa nini amuoe mbaya,akuache wewe. WANAWAKE WA SIKU HIZI UJUAJI MWINGI. Na mtatumika sana pumbavu sana. Na Hakuna the karma yoyote itamkuta mwamba. Amekosea tu angekupiga na mimba kabisa kwanza ndio atangaze ndoa na mwingine. Kenge nyie
 
Dua la kuku halimkuti mwewe kamwe, ww ulikuwa nae ki maslahi tu, kwann u date boss wako? Karma from bitch is a big joke... jiandae kuendelea kuwa mchepuko wake tu, hiyo ndio kazi yako
Yeye ndio kapigwa karma alimkataa mfanya kazi asiye na cheo akaliwa na boss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…