Hatimaye Boss kaoa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema haya mambo mda mwngn.... unaweza date na wadada wazuri wenye figure kali na wapo vzr kichwani ila ipo siku unatulizwa na mdada wa kawaida sana
kawaida wanaume tunatafuta mama bora kwaajili ya watoto wetu.... hatuangalii uzuri wa sura umbo au elimu ya darasani.....

mwanamke mwenye akili ni mali kwa watoto wako
 
We nae,bwana umtongoze mwenyewe Leo umtukane dada wa watu aliyetongozwa eti Malaya uko sawa huko kichwani kwako?
 
Binti mmoja alianza kuropoka baada ya kuonja pombe
 
Dua la kuku halimkuti mwewe kamwe, ww ulikuwa nae ki maslahi tu, kwann u date boss wako? Karma from bitch is a big joke... jiandae kuendelea kuwa mchepuko wake tu, hiyo ndio kazi yako
 
Amekugegeda kaichoka kahamua kuchukua chombo kingine na kufunga naye ndoa.
 
Stop being stupid
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…