Hatimaye Boss kaoa

Kubabeki..
 
Mpe ushauri mwenzio sio kila Siku kunisagia kunguni mm
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena wewe nilipofikia ni pa kukutandika vibao, haki vile.

Kunguni nishasaga sana, naona sifanikiwi kukuzindua akili!
Ila nimechekaaa, kumbe vinakuingiaga vichambo enh?
Ila hii ya mwisho hakiii imeniuma kiukweli!!
Usipeleke dogo kule Tena bana, yule ujue ni kichaa?
We haya
 
Lengo lakuwa na mahusiano na boss wako lilikuwa nn?, uheshimike kazin au upate mseleleko? Kama malengo yalikuwa ni hayo basi angalia kama yametimia au laa

Tatizo wanawake wengi wanajirahisisha saana makazin kutokana na uvivu wao na kutaka makubwa,

Anyway vumilia na jifunze kupitia hayo, tafadhali usijaribu kuwaza kuharibu ndoa ya mtu.. tulia uanze upya

Usirudie kosa tafadhali,
 

I loved him foreal
 
Sawa ila punguza jazba huyo hata kama angekuoa huenda ndoa ingevunjika tu pengine wewe au yeye kaepushwa na jambo ambalo lingetokea pindi mngekuwa kwenye maisha ya ndoa kwahiyo kuwa muelewa endelea na maisha Yako , kama kuchezewa hapo mmechezeana na ukisema kakupotezea muda hapana wote mmepotezeana muda , kwani huyo boss kaondoka na mbususu Yako? Wewe punguza hasira, Tunza mbususu Yako na utulie jitunze Wacha papara utaolewa tu na utaenjoy na kusahau yaliyopita , PENGINE hata hapahapa unaweza pata mume kwahiyo hata kauli zako zichunge sana ndo zinakutambulisha kuwa wewe ni WA namna gani
 
Us
 
Usijali sana ,njoo ujitwalie mimi,ataendelea kukunyandua Kwa kuwa ulijisimplify kwake.jambo la msingi jifunze kujithamini kwanza ,kumfungulia mtu mapaja Huwa hakuleti mahusiano ya ndoa.ndoa na ngono ni mambo mawili tofauti kabisa.Tupo kwenye ndoa yet hatupati hiyo ngono wakati wote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…