Malaya alieolewa? So you know her...hebu tupe storyEti wife material
Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching
Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu
Anhaa Basi kama mm nilikua chaps ilale tutaona yatakayojiri kwa uyo malaya alieolewa atakuja kugongwa na wahuni
Ona hiiyani we ni kiaziii!
Mtu alipwe laana kwa kuoa?
Ulitumwa umvulie nguo?
mxxxxiiie!
Sas si ushukuru hujaolewa? Kama mapenzi yanaisha...mbona sasa kama uko destructed...Wait until miaka 5 ipite Ndio utajua hujui
Mapenzi huisha dear yanabaki mazoea unaanza Sasa kunengeneka kwenda kidimbwi kutafuta wengine
Kumbe ulijitongozesha na aka kwambia wazi ana mahusiano, umeingilia mahusiano ya watu halafu unakuja kutafuta huruma huku. Shame on you,na kitakuramba.Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
yuko too obssessed!Ona hii
....So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I wonβt ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.
aliambiwa kabisa , karibu naoa!Enh
Yani sijui nianzishe consultancy ya mapenzi kwa wanawake??! Labda tukiwajuza yale nasi tumepitia enzi hizo itasaidia.
Kasema hataki uhusiano, ukasema twende hivyo hivyo!
How old are you? Pole yangu hata sikupi.
Au ni story changamsha genge?
Below 25 walau nakuelewa, above that...uchapwe!!!
Inauma Sana, una waza pm za Dem au mselaππSema kua kama guest inakunyima vingi, ukilogin unaona pm 5 afu huwezi fungua ππningekua na uwezo wa kuwasiliana nao ningewaomba waniachie
Asante Kwa kumkumbusha...So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I wonβt ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.
Strong and Fearless unakumbuka haya maneno?
ahahahhaahhahahha
Ona hii
....So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Kwa Kadri miaka inavyoenda na uwezo wa kupambanua mambo unapungua kabsa; hasa kwa mtu mzinzi ufahamu wake hata kama amesoma n safari, shetani hupofusha fikra zao! Uliongozwa na pepo na wala sio hisia, na usipotubu na kuomba nguvu ya MUNGU akunasue huko ukofika utapuyanga sana mdogo wangu! Mungu akupe ufahamu wa kuona dhambi yako na kuijutia!Ona hii
....So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I wonβt ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.
Nafikiri hii ndo sababu haukuolewa..... wanaume hatupendi wanawake wenye maneno mengiβ sasa kwa jinsi ninavyosoma uwandishi wako bado una safari ndefu sana rafiki
Sas si ushukuru hujaolewa? Kama mapenzi yanaisha...mbona sasa kama uko destructed...
hamna maombi ya namna hii yanajibiwa, pole sana
Malaya alieolewa? So you know her...hebu tupe story
wewe ulimkubalia ili upate kazi ulitegemea nini nafikiri hio ndio ilikuwa clue kwenye kichwa chake anyway ndivyo maisha yalivyo usidate na mtu mlioko nae office moja
sasa wewe ndio ulimchezea ndio imebadilisha kibaoHatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Omba Toba na Rehema mrembo...Asante kwa feedback Mungu
Niombaje Mungu ili nijibiwe Mungu mkuu
Hana ubavu wa kumkataa huyo boss wake.Binti usikubali kurudisha teena uhusiano kaa mbali nae.Mungu wetu ni mkuu sana atakupa mtu mwingine. Hayo maumivu no ya muda tuu yatapita.
Unamoyo wa chuma mamy, Sasa unafanyaje kazi kipindi hiki ambacho wafanyakazi wenzio wote wanakutolea macho...Ww mm nlipata kazi kwa elimu yangu, experience na skills
Uyo mbwa nlikutana nae hapo ofisini
Na anitishi chochote na kunifukuza hawezi atadhalilika hadi ukioa wake watashangaa Ndio maana yy mwenyewe kakaa kimya
Wengi wapo hivyo! Mnakubaliana lakini mwenzako yupo na yake. Inaboa ila inaonesha alivyo, hatamuacha na akiwa na akili, ataivunja hiyo ndoa. Cheza na nyie, mwanamke akihitaji kitu anakipata tu.aliambiwa kabisa , karibu naoa!
it wont work!
niko na relationship serious!
HAKUELEWA NN? anakuja hapa na sijui malipo sijui nn, mxxxie!