Hahahaaa
kufulia hakufai kabisa aisee
Nilijua tu wapenda maendeleo hawapendi youngs timu ya chama
Halafu inakoelekea ipo siku yanga watavaa simba na simba watavaa jezi za Yanga
Acha umbea we mama kiwowowo
Hivi huyu si ashawahi kuwa mumeo?
Msaidie please anadhalilika...!
Mi namjua vema huyu jamaa...!
Kwanza nataka hata bundle nisimpe tena maana anaweza kuja na majigambo kumbe anatumia bundle la msaada
Aliyerogwa huwa hajijui Lady doctor
hiyo ni km limbwata
natafuta mume
asavali!!!!!!!!