Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

mbona mjomba wake wa halaili yuko tu
tena anamfahamu aliyenifanya nikafyatua
huyo mjomba na ndiye alikuwa mahari yote
yeye iweje anichunge kiasi hichi wakati mm ni..........?
Analinda Mali ..wajomba waje wahalali
 
Hii siyo habari njema kwa Gazeti letu Pendwa JF Udaku.. Baba V
let's Do Something......
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenu mnahifadhi ya watu wa aina hiyo? kuna jamaa hapa kitaa ana tabu kama hiyo? shemeji hajambo lakini

shemejio bukheri kabisa
si unajua mfuliaji ni shemeji yangu?
so ndugu yke kaona tuishi nae tu!!
 
Ukiweka post JF na UKATAJATAJA MAJINA ya members basi ujue UTAPATA "LIKES" na "REPLIES" kibao. Wngine walishakufa ila wanatajwa tu!

Ni kama nyimbo tu za KIBONGO kutajataja majina!
 
Ukiweka post JF na UKATAJATAJA MAJINA ya members basi ujue UTAPATA "LIKES" na "REPLIES" kibao. Wngine walishakufa ila wanatajwa tu!

Ni kama nyimbo tu za KIBONGO kutajataja majina!

Karibu aisee
 
Ukiweka post JF na UKATAJATAJA MAJINA ya members basi ujue UTAPATA "LIKES" na "REPLIES" kibao. Wngine walishakufa ila wanatajwa tu!

Ni kama nyimbo tu za KIBONGO kutajataja majina!
Unataka kuniambia ukifanya hivyo kisha unaware mention kazi inakuwa kwao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom