Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Wala hata hakutaki

Tanesco wakiamua kufanya yao si unajua tena

me penda wewe saana
Tena asituzoeeeeeeeeee
Atutueeeeeeeeeeeeeeeeeee
Au nayeye kama ananitaka si aseme nimpe utamu ili asituzoee eboooo!

BTW Nakumiss mpenzi wangu halafu sijui Tanesco wanatugombanisha au la
 
Wala hata hakutaki

Tanesco wakiamua kufanya yao si unajua tena

me penda wewe saana
Hahahahaaaa
nimecheka kiukweli bby wangu....eti wala hanitaki dah umeipanch vizuri.

Mi penda wewe more....come back bby nakumiss sana...upweeeeke
 
kuna kipindi nilisikia anamfukuzia mdogo wangu snowhite na aliahidi akimpata anampeleka Mars kula bata...
kwani huko Mars modem ya tigo inakamata?
Mi nahisi Bishanga yupo Mars anakula bata na mpenzi mpya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom