Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hahahaha asinge salimika huyo
Last edited by a moderator:
Mwanyasi ndo maana yake na mtura pale ken garden yaani ni balaaNyama choma Mbuzi kwa-mromboo imetulia sana The secretary akija habanduki!
hahahahahahaaaaa mtajicarryyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!
kwendeni zenu hukooo alaaah!!!!!
Mwanyasi ndo maana yake na mtura pale ken garden yaani ni balaa
Maneno ya hivi shem kunani tena, mie spendi ushahidi
The secretary unasikia ofa hizi changamka, vijana wa chuga hawapendi upate taabu, natoa tketi ya presishen popote ulipo uende chuga
Halafu shem kwanini jana uliniza sura pale stand? bro Arushaone kanambia waja kunichukua ukaniuza?!?!
Maneno ya hivi shem kunani tena, mie spendi ushahidi
halafu wewe nakufananisha namtu fulani humu mjengoni sijui kwanini au nimepinda macho yangu nini yakawa hivi View attachment 122651
halafu wewe nakufananisha namtu fulani humu mjengoni sijui kwanini au nimepinda macho yangu nini yakawa hivi View attachment 122651
shem usijali hii ni mechi ya simba na yanga! umenisoma?
hahahaaa!! Bishanga bundle atoe wapi
wakati kula na kulala tunamhifadhi
mimi na huby wangu Ruttashobolwa?
kahamia kwetu siku hizi,ndugu yake
anamtafutia kibarua!!ila na wewe unafukunyua
habari za watu mwenyekiti duuuuh!!
hahahaaa shaulilo utaletewa wa wenzio ulee