Hatimaye biashara ya Ngono yarejea kama kawaida

Hatimaye biashara ya Ngono yarejea kama kawaida

Ukimwi hautaisha asilani, jana nilikuwa Bagamoyo ufukweni ilipoingia giza ilibidi niondoke bila kupenda
 
Pale kona bar unaweza ukapata dem kulingana na makabila kuna wahehe kwaajili ya mapenzi ya aibu aibu AKA Nchanie chupi. Kuna wazaramo penzi pa shanga na wengine wengi kwakweli pale kone nahisi ndio kwa shetani pale.
 
Dah mnanitoa udenda jamani hebu hii likizo ianze nije Dar "kusalimia" wazee nalimiss chimbo langu Maeda!
 
maisha ya dar ni magumu sana kila mtu anajua atapataje pesa so usipende kuomba namba za malaya ovyo

kuna mtu yalimkuta kakuta washkaji zake wanapiga story kuna jimama moja linaitwa chiku liko sewa bar ni bonge la dude... halafu ni jitu zima juzi nimefumua marinda jamaa kaomba namba na yeye afumue washkaji wakampa kuja kupiga namba kakuta ni MAMA YAKE MZAZI
hahahaha
 
Back
Top Bottom