Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Huko ulaya ndiyo hakufai kabisaKwa threads kama hizi na ukisoma comments za waliowengi , unaweza kuelewa kwanini Trumph, mgombea urais wa Marekani alitutukana...kwamba Waafrica akili zetu tunawaza ngono tu...Inabidi tukemee roho hii kwa nguvu zote na tumrudie Mungu atusamehe