Abuwhythum JF-Expert Member Jan 7, 2015 837 494 Feb 20, 2017 Thread starter #101 Ikifika J2, 26/02/2017 kwa ukimya huu huu, ujue hamna lolote tena
Naisoma360 JF-Expert Member Jan 23, 2015 820 491 Feb 20, 2017 #102 usiwaze tena haya mambo futa kwamba huenda hakunaga ajira sasa
Abuwhythum JF-Expert Member Jan 7, 2015 837 494 Feb 20, 2017 Thread starter #103 Naisoma360 said: usiwaze tena haya mambo futa kwamba huenda hakunaga ajira sasa Click to expand... Kwani wewe huiamini serikali yako iliyotamka tena mbele ya Bunge kuwa ajira ni March
Naisoma360 said: usiwaze tena haya mambo futa kwamba huenda hakunaga ajira sasa Click to expand... Kwani wewe huiamini serikali yako iliyotamka tena mbele ya Bunge kuwa ajira ni March
kkkt JF-Expert Member Nov 22, 2014 364 115 Feb 20, 2017 #105 ketone said: nilishachoka Click to expand... Naona huruma sana ila one day yes....!
Ubuntu Master Member Dec 31, 2016 84 92 Feb 20, 2017 #106 ikifika mwezi wa tatu na mkaona series ya uhakiki haifiki mwisho, nawashauri msipoteze muda tena kusikiliza maneono ya viongozi wa serikali hii na mjitahidi kutafuta kitu cha kufanya cha kukuingizia kipato kuliko kufanywa kama mtoto.
ikifika mwezi wa tatu na mkaona series ya uhakiki haifiki mwisho, nawashauri msipoteze muda tena kusikiliza maneono ya viongozi wa serikali hii na mjitahidi kutafuta kitu cha kufanya cha kukuingizia kipato kuliko kufanywa kama mtoto.
Zamazangu JF-Expert Member May 16, 2015 792 410 Feb 20, 2017 #107 nakuja tena said: maana daktari kusubiri ajira n wendawazimu wataajiri hewa tu watu wanakula maisha wabaki na ajira zao Click to expand... Uzuri siku hazigandi zinaenda tu. Tutafika hatimaye na tutafanya tathmini ya
nakuja tena said: maana daktari kusubiri ajira n wendawazimu wataajiri hewa tu watu wanakula maisha wabaki na ajira zao Click to expand... Uzuri siku hazigandi zinaenda tu. Tutafika hatimaye na tutafanya tathmini ya
ENANTIOMER JF-Expert Member Sep 22, 2014 1,419 804 Feb 21, 2017 #108 tuna viongozi watenda maovu. hasa magu anayewatuma wa chini yake kutenda dhambi
Abuwhythum JF-Expert Member Jan 7, 2015 837 494 Mar 13, 2017 Thread starter #109 Machi ipi sasa? Kwa kuwa hakutaja mwaka gani! Ndo kichaka cha kijifichia!
M mbingunikwetu JF-Expert Member Feb 17, 2015 13,664 18,039 Mar 14, 2017 #110 Hivi hamjasikia kuwa jamaa bado anaendelea na Zoe's I la kusaka watumishi hewa na vyeti hewa! Yaani haeleweki wakati mteule wake ni hewa!
Hivi hamjasikia kuwa jamaa bado anaendelea na Zoe's I la kusaka watumishi hewa na vyeti hewa! Yaani haeleweki wakati mteule wake ni hewa!
Abuwhythum JF-Expert Member Jan 7, 2015 837 494 Apr 1, 2017 Thread starter #111 Hakuna mtu muongo kama huyu mama katika awamu hii!
Abuwhythum JF-Expert Member Jan 7, 2015 837 494 Apr 1, 2017 Thread starter #112 ENANTIOMER said: tuna viongozi watenda maovu. hasa magu anayewatuma wa chini yake kutenda dhambi Click to expand... Kesho asubuhi! Mimi na wewe tunahitajika central!
ENANTIOMER said: tuna viongozi watenda maovu. hasa magu anayewatuma wa chini yake kutenda dhambi Click to expand... Kesho asubuhi! Mimi na wewe tunahitajika central!
ENANTIOMER JF-Expert Member Sep 22, 2014 1,419 804 Apr 1, 2017 #113 Abuwhythum said: Kesho asubuhi! Mimi na wewe tunahitajika central! Click to expand... nani kasema, au Bashite Sifuri kanitangaza kwenye runinga
Abuwhythum said: Kesho asubuhi! Mimi na wewe tunahitajika central! Click to expand... nani kasema, au Bashite Sifuri kanitangaza kwenye runinga