Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 5,973
- 6,606
Tume ni ya CCM.Tume mkuu
Tume ni ya CCM.Tume mkuu
Tume ni ya CCM.
AFADHALI NA WW UMEONAHio ilkua janjajanja tu ya Sirikali maana waombaji ni wengi zaidi ya nafasi zilizopo,,sasa katika hali ya kawaida mtu unakoseaje kutuma cheti??Kuscan na kutuma vinafika,,sasa wameonaje kama vimekosewa kama havijawafikia??Lengo ni kupiga Panga alafu baadae wataambiwa subirini Uhakiki ujao..ambao hautatokea,,Data zote ,,kuhusu vyeti zipo NECTA na Mecta ipo chini ya Serikali,Huo ni ujanja ujanja tu
Pole mwanangu.Subira yavuta heri.unakoelekea ni karibu kuliko umbali uliokwishasafiri ktk matatizo ya ulimwengu huu.Huwezi walazimisha kuajiri mtegemee Mungu tu.Karibuni kwa mchango wenu wa mawazo
Cha kushangaza udahili wa walimu wa sanaa unaendelea vyuoni!Cc wa arts sijui mheshimiwa anatufikiliaje kwani tunadhalilika mtaani kwa maisha yasiyo na dira tumetumia mda mwingi kusoma serikari inatusahau, namuomba Sana mkuu atuangalie na cc kwani hatuna mbele wala nyuma ,
Kama ni subira tu! Wahusika wamekuwa nayo ya kutosha!kuweni na subira!!
Hiyo ni ya kuzugia kusukuma muda ila idadi wanaifahamu kuwa ni 4,348Hivi hao walimu 2100 wa sayanc watatosha kweli TZ nzima????
Mkuu changamkia fulsa!Cc wa arts sijui mheshimiwa anatufikiliaje kwani tunadhalilika mtaani kwa maisha yasiyo na dira tumetumia mda mwingi kusoma serikari inatusahau, namuomba Sana mkuu atuangalie na cc kwani hatuna mbele wala nyuma ,
hela hakuna ndio maana unaona hawazungumzii.ww unaekosoa serikal umewah piga magot kuiombea kw mungu mana hakuna mamlaka inayotok kw mwnadm zatoka kw mungu
utakua umerogwa ww sio bure. serikali inafanya madudu na wanyonge wanaikosoa kutokana na madudu hayo, ww unawakosoa wanyonge kwa kuikosoa serikali. kwanini ww hujaacha kuwakosoa hao wanyonge wanaoikosoa serikali na badala yake ukapiga magoti na kusali kuwaombea hao wanyonge ili waache kuikosoa serikali.ww unaekosoa serikal umewah piga magot kuiombea kw mungu mana hakuna mamlaka inayotok kw mwnadm zatoka kw mungu