Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Status
Not open for further replies.
hIVI mWIGULU HAJASHIRIKI MAANA YEYE AMEOGOZA KAMAPENI MBILI ZOTE ZA MAUJI KULE IGUNGA NA A.MASHARIKI.kule jimboni kwake kikiji cha Ulemo aliweka kambi ya vijana ya ccm kama makamanda ,ndio matokeo yake.Je au ndio makamandoo wa Mukama aliojidai kudanganya umma kuwa cdm imeleta makamandoo kutoka pakistani,Libya na Afghan ili kuficha ulimwengu.CCM ni zaidi ya chama cha Nazi enzi ya Hitler dhidi ya Wayahudi.Tusikipe ushirikiano wa aina yoyote
 
Dhambi inaua! Inaua jamii, inakumuuwa na mwenye kuitenda bila kujua!
Wala tusikifiri Mungu ndio anashughulika kuadhibu!
 
Huyu jamaa ilitakiwa apate kichapo kidogo toka kwa wananchi, halafu ndo Police wamachukue
 
Mhe Tundu Lissu, Marehemu Mbwambo wa AruMeru Mashariki, Ismail wa Arusha, na yule ndugu yetu mkazi wa Mburahari aliyechinjwa Igunga, Mwenyekiti wa CUF Kibaha pamoja na wananchi kibao waliopoteza maisha mikononi mwa
Jeshi la Nape na Mwigulu Nchemba na maelekezo ya wakubwa wake, roho hizi zinalilia HAKI NA KUTETEWA NA CHADEMA leo hii na wala si kesho.
Hawa ndio viongozi vijana wanaotegemewa CCM.
 
Duh inasikitisha sana kuona chama tawala kinasimamia kuua watanzania wenzao, kumbe hata Igunga walishiriki mauaji ya watanzania. Tutakuja kuchokana hii nchi jamani.
 
kWELI nIMEGUNDUA UKITAKA KUMTAWALA MTU MUOMBEE NJAA!!

Hayo ndiyo waliyotufundisha! Kumwombea adui njaa, maana wanajua Mungu hafanyi huo ijinga.
Ndio maana mnawaombea wafe lakini hawafi, wanadunda tu kila uchaguzi!
Mungu anasema mpende jirani yako kama unavyojipenda

Wao wanatusababishia njaa, ili watupe kanga!
 
hIVI mWIGULU HAJASHIRIKI MAANA YEYE AMEOGOZA KAMAPENI MBILI ZOTE ZA MAUJI KULE IGUNGA NA A.MASHARIKI.kule jimboni kwake kikiji cha Ulemo aliweka kambi ya vijana ya ccm kama makamanda ,ndio matokeo yake.Je au ndio makamandoo wa Mukama aliojidai kudanganya umma kuwa cdm imeleta makamandoo kutoka pakistani,Libya na Afghan ili kuficha ulimwengu.CCM ni zaidi ya chama cha Nazi enzi ya Hitler dhidi ya Wayahudi.Tusikipe ushirikiano wa aina yoyote

Dhambi yake itamtafuta mpaka impate, subiri tu.
 
ritz Rejao, MAFILILI njoni huku mkaitetee ccm dhidi ya tuhuma za mauaji ya mwenyekiti wetu!

UMEMSAHAU NAPE MOSES NNAUYE naye alikana na kupingana na kauli ya CHADEMA sasa maana na yeye yupo humu jamvini aje atueleze hii maana yake nini? au sasa ndo sera yao kuua watu? mi kweli kati ya kitu kilichowahi kuniumiza katika siasa za ccm ni mauaji ya huyu mpamabanaji ambaye hakuwa na ugomvi na mtu yeyote yule

Sasa tuone ccm itatoa tamko gani sasa, polisi waendelee kutenda haki wasije kuongwa wakaja kutoa ushahidi wa ajabu ajabu mahakamani ukasikia huyu muuaji baada ya miaka mitatu ameshinda kesi
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
Mkuu T.2015.CDM Ahsante kwa taarifa na baada ya kumleta muuaji je mwenyekiti pia alikamatwa????
 
Kwanza pongezi kubwa sana kwa IGP Mwema na Makanda wake (Jeshi la Polisi) - Hizi ndizo kazi zenu mnazotakiwa kuzifanya kwa weledi wa hali ya juu. Pili mkimaliza uchunguzi na kuona kuwa kuna hila za Kisiasa basi fanyeni mambo mawili;

1. Wauaji na washirika wao wote wasimame kwa Pilato kujibu mauaji hayo;
2. Pelekeni kwa Msajili wa Vyama ( Bwana Tendwa), taarifa hiyo, kuwa kuna Chama cha Siasa kinaendesha mauaji nchini, na kwa misingi hiyo kinatakiwa KUFUTWA
 
Mauaji ya kisiasa ni kitu cha kawaida kuna kina TOM MBOYA,CHACHA WANGWE e.t.c waliwahi kuwa wahanga.so hakuna kitu cha ajabu hapo.tuwapongeze tu polisi kwa INTELLIGISIA ilofanikisha kukamatwa kwa muuaji.na hatuwezi sema huyo ni profesheno nadhani njaa tu ndo imefanya akubali kumchinja mwenzake kama kuku.
 
It's very sad kukatisha maisha ya mtu kwa milioni 2. Familia imebaki katika hali tete, haiwezi kuficha hilo pengo. CCM wanatakiwa kulaani hii tabia. Najua tutaona na kusikia mengi especially tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi 2015.
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
Sasa nategemea mahakama zetu zitatenda haki kwa kumuadhibu haraka sana huyu muuaji ...kwa kumnyongelea mbali ...kama walivyofanya kwenye kesi za wauaji wa albino....ili iwe fundisho kwa wengine....maana tayari kuna vithibitisho....nategemea polisi watahakikisha ukweli wa vifaa alivyotumia kuua fasta(kwa kupima DNA)...na ikithibitika wala hamna haja ya kuchelewesha kesi...pia nategemea polisi watamkamua kode zake ipasavyo ili awataje kwanza waliomtuma kuua...ili wooote wawekwe kwenye kesi moja ya kuua....ni kwa kufanya hivyo tu tutaamini haki imetendeka....kwanza kwa polisi...na pia kwa mahakama kumuua huyu jambazi.........
 
Pongezi kwa Jeshi la Polisi. Sasa ingieni kwa undani kujua driving force ilitokana na nini, fukua fukua ili kila mtu apate haki yake kulingana na matendo yake. Kila la heri polisi wetu.

hapo haisemwi wana vyeti vya kughushi na wanaokuwa askari ni walio feli,,,,,hapa ni pongezi ,ni wasomi,,,wazalendo,,,,wanajua kazi yao,,,,,dah nimehuzunika sana kwa msiba ule,,,,ilaninapata faraja ila nashindwa kuielewa jamii tuliyo nayo nami nikiwa mwanajamii,,,,,,,tunayo safari,,,
 
Mungu ndiye awezaye damu ya mtu asiye na hatia italia mbele ya ccm kama kweli wamemuua kwa sababu za kisiasa.
 
mtuhumiwa huyo almaarufu kwa jina la (chewaja)alikuwa ni mpangaji katika nyumba ya marehemuni (waliishiwote myumba moja) ni mzaliwa wa singida,mkazi wa arumeru mashariki,amekamatwa dodoma akiwa kwa mganga wa kienyeji,awataja alioshirikiana nao katika mauaji hayo mmoja wapo ni kada wa ccm na pia ni mwanyekiti wa kijiji,vilio vilitawala baada ya mtuhumiwa huyo kurudishwa kijijini chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi kuonyesha olikoficha vifaa vya mauaji wananchi wapandwa na hasira wataka kumuua askari wazuia,silaha zakutwa shambani kwa mwenyekiti zikiwa zimefukiwa chini ambapo baada ya kufukua walikuta bunduki mbili,kisu panga,na mashine ya kukatia miti iliyo tumika kumchinjia marehemu alifanya mauaji hayo kwa ujira wa shilingi za kitanzania milioni mbili(sh.2.000,000/=)yasemekana hata uko singida alikimbia kesi ya mauaji.

Source:mimi mwenyewe live kutoka katika tukio.

nilishasema na ninarudia kusema kuwa vurugu zote za kisiasa zinasababishwa na ssm!!! Sielewi ni kwa nini hawajiamini hata kidogo! Katika kila kitu amini kuna majibu mawili tu katika siasa kushinda au kushindwa!! Na yote hayo wahusika wanatakiwa wakubali matokeo kama ni halali bila vurugu. Hivi ni kwa nin ssm haijifunzi kwa chadema fika kuwa walishinda urais na majimbo mengi tu lakini wakadhulumiwa!!! Nakumbuka dr slaa aliandika bandiko fupi sana na kuwataka wapenzi na wanachama wa chadema wawe na amani na ikawa hivyo. Vinginenvyo kama chadema wangeamua kuleta vurugu zingezidi za syria na kule kwa marehemu rais wa libya ambao wengi wameshaanza kumkumbuka!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom