Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Status
Not open for further replies.
uko singida alimuua mwanachadema?

au alitumwa na mwana ccm?

binadamu tuna mambo mengi ya siri na ya fedheha

kikubwa dont link mauaji haya na siasa, ndio tunharibu

poleni sana wafiwa, too sad kuuana namna hii...he should be hanged...hang him

Mbona kama kuna kitu unakitetea, au ndio umefulahi nini? Kule Singida si ndio anakotoka Savimbi? sasa unahoji nini.
 
mauaji.jpg

MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
asanteni police kushirikiana na wananchi kulikamata hili gaidi jambawazi la kimataifa; kama tunavyosema kila siku si police wote ni mapoliccm, tunawashukuru sana police mnaojitolea kukomesha vitendo hivi. bado tunawakumbusha kutusaidia kuwasaka wale wale waliomuua yule kada wa CDM Igunga ili haki itendeke. If this is true, gud job.
 
Hatutaki cha haki wala cha nini, huyu muuwaji CHEWAJA aminywe korodani zake mpaka amtaje aliye mtuma kazi hiyo ya kumtoa uhai binadamu mwenzake kwa vipande milioni 2 vya pesa. Kisha anyongwe hadharani mpaka afe, hapa hatuhitaji sheria za kizungu, tutumie za kwetu za kiafrika yaani "Piga tu"!
 
ilibidi atoroshwe maana mwigulu angekuwa hatiani

Huyu Mtu si kama nasikia alitoroka mikononi mwa polisi????????????????????????

auae kwa upanga atakufa kwa upanga yesu alisema, kaz kwenu polisi na mahakama, mkishindwa bac MUNGU wetu atafanya jambo

Hii picha inatisha na inasikitisha. Huu ndiyo UKATILI WA SERIKALI YA CCM chini ya Rais Kiwete,Mwigulu Nchemba na Nepi Nnauye!Serikali inayojitapa ati SIKIVU!!!!!!!!!!!!!!

Kwa style ya CCM ya kina Mwigulu Nchemba na Nepi Nauye wanaotembea na Tesha wao wa Tindikali ili kuombea KURA kwa Watanzania ina maana CHADEMA NAO WALITAKIWA WATEMBEE NA HUYU MAREHEMU KUOMBEA KURA ZA UDIWANI pale Arusha.

Kama hizi habari ni za kweli ngoja tusubiri huyu muuaji atafunguiwa kesi gani, ya MAUAJI ua ya UGAIDI!

mungu yupo kila kitu kitakuwa wazi na hawa wauaji wataadhibiwa na mungu

asanteni police kushirikiana na wananchi kulikamata hili gaidi jambawazi la kimataifa; kama tunavyosema kila siku si police wote ni mapoliccm, tunawashukuru sana police mnaojitolea kukomesha vitendo hivi. bado tunawakumbusha kutusaidia kuwasaka wale wale waliomuua yule kada wa CDM Igunga ili haki itendeke. If this is true, gud job.
Wakuu, note carefully:

1. Hii ni thread ya 2012 na hivyo tukio linalosimuliwa limeshapata mabadiliko mengi.

2. Mtuhumiwa huyo, ambaye ni KIONGOZI WA CCM, alitoroka akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi na hakuna habari zozote za kilichoendelea.

3. Nadhani mtu aliyeifufua thread hii ana lengo la kuonesha jinsi ambavyo kesi hizi, na ukamataji wa watuhumiwa wa uhalifu wa kesi hizi, na uendeshaji wa kesi hizi (zenye uhusiano na siasa na wanasiasa), kwamba kuna double standards. Wakati Henry Kilewo issue yake inaonekana ni HATARI SANA, na juhudi kubwa ya polisi inafanyika kumkamata na kumshtaki kwa UGAIDI, huyu MUUAJI kwa kuchinja kwa msumeno unaoendeshwa na mashine si HATARI SANA, na haina haraka.

4. Mashaka kuwa JESHI LA POLISI LINATUMIWA NA CCM, wakati askari hawalipwi kwa ruzuku ya CCM bali kwa kodi ya WATANZANIA wote. Jukumu la jeshi la polisi si KULINDA UONGOZI WA CCM, bali kulinda RAIA WOTE NA MALI ZAO.
 
mauaji.jpg

MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
naahidi kusambaza hii picha kila ntakapo kuwa ili kuueleza umma unyama wa CCM na nafikiri nitafanya zaidi ya mwigilu anavo mtumia katuni wake wakati mipango kapanga mwenyewe . hii ni moja ya picha katika harakati za kuwakomboa walio lala katika mauti CCM na kuwa leta katika chama makini CHADEMA chenye mlengo wa kuwakomboa wananchi kifikra .
 
hii thread siielewi maana huyo mtu alikamatwa then akatoroshwa akiwa chini ya ulinzi wa police sasa amekamatwa tena au ni thread ile ile ya zamani??
 
Du! huyu jamaa ni mkatili sana ,hata kama ni chuki hiyo imepitiliza

wanaoratibu na kuua watu wasio na hatia ni hii Taasisi ya kijani-hawa ndio makatili yenyewe. Wanaotekeleza hayo mauaji wasingefanya hivyo/wala wasingekuwa na sababu ya kufanya hivyo kama hiyo Taasisi isingekuwa inayapanga kwa sababu wanazozijua wao !
 
mauaji.jpg

MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.

Duh, ushahidi Wa ugaidi Wa CCM unazidi kuwa wazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom