Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Status
Not open for further replies.
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.

Whaat ??? Ujira nini? tena mmoja wao ni kada wa nini? ... Nonsense!!

Taifa la Tanzania is destined kwa Tatizo kubwa kuliko inavyoonekana na kusadikika!
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.

Ina maana huyu ni Professional Killer aliyekodiwa na Gambaz kwa Tsh 2000000
 
damu ya mtu haipotei kirahisi..! Siku niliposikia hili tukio nilinukuu manene yanayosema UKIUWA KWA UPANGA UTAKUFA KWA UPANGA..... Huyu mtuhumiwa no way he can escape..,
 
Haihusiani na siasa, alikuwa mpangaji wake.
Ukifuatilia huyo m/kiti wa CCM waliyeshirikiana na muuaji unawezakuta zile pesa 2M zilitolewa na mtu unayemjua tena mwenye cheo kikubwa ndani ya chama, stay tuned again.
 
haihusiani na siasa, alikuwa mpangaji wake.

haiusiani na upangaji hata kidogo, naona hiki ni kichwa cha panzi kusema alikuwa mpangaji wake, inasemekana alifanya kitendo hicho kwa ujira. Kuna msukumo wa watu wenye uwezo.
 
Yaani juzi juzi huko iringa diwani wa ccm alitaka kuumua mchungaji msigwa na timu yake ya kampeni na leo tunaambiwa mwenyekiti wa ccm katuhumiwa kwa mauaji haya....lol!
 
Polisi wakiamua wanawza ila wakiingiliwa na ssm hawezi na wala hawafanyi kazi zao ila matakwa y a gamba

Hongereni polisi hapo kazi mmefanya.

ila msibweteke kwani bado kazi ipo.
 
kwenye interogation it looks like jamaa walikuwa wawili na walilipwa hela na wenyeviti wawili wa vitongoji, sh ml 2. and the reason being kwamba Msafiri Mbwambo (Mkiti wa CHADEMA Usa-River) alikuwa mfuatiliaji mzuri mzuri wa mapato na matumizi na usimamizi wa karibu wa miradi yote ya maendeleo, kwa namna nyingine walikuwa wanashindwa kuiba. Sasa kama mwenyekiti wa kitongoji anakuua kwa kufuatilia miradi midogo, itakuwaje kwa wabunge hususani wa upinzania (CHADEMA) wanaoisimamia na kuiwajibisha serikali wakiwepo mawaziri kupigwa chini???

Jamaa wa kwanza alikamatiwa Kondoa , tarafa ya kwa Mtoro na wa pili ndo huyu aliyekamatwa sasa. Huko walikwenda mujificha.

Nassari alitangaza maombi ya kufunga kwa siku mbili wakati wa ibada ya kumuaga marehemu ili wahusika wakamatwe, na Mungu anajibu maombi sasa.
 
....ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

Wala sishangai,kama hii mijibaba inatega mkono ili ipewe kanga....
Itakuaje ikiahidiwa 2M?

536723_433786869978912_100000428097666_1459393_1075837521_n.jpg
 
Chama cha Mapinduzi ccm kitakuwa kinawajua majambazi wote wa nchi hii wakubwa kwa wadogo.Kwa nini kila tukio baya(mauaji)viongozi wa ccm wanahusishwa moja kwa moja kwa kutajwa na watuhumiwa!?

CCM wezi wa mali ya umma,ccm mnamwaga damu za wanadamu hakika mtakufa kifo kibaya sana.Mwenye enzi Mungu hapendi mfanye haya mnafanya,kumbukeni pia hakuna mamlaka(falme)zitakazodumu milele je na nyie siku mkiondoka madarakani tuwachinje Kama mnavyotufanyia sie?Hivi vidole tunavyowanyooshea ccm na viongozi wake ipo siku mtayeyuka Kama mshumaa.Mnawalipa na kuwatuma wauaji wakautoe uhai wa binaadamu mwingine ili iweje?
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.
Asante kwa taarifa na tafadhali sana endelea kufuatilia tukio hilo na kutujulisha ili tufahamu CCM ilihusika kiasi gani. mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA.
 
haya ccm wakatae tena kuwa hawausiki na mauji ya msafiri jamani kweli ccm nimeamini kuwa ni wakatili na wauwaji ila Mungu yupo aliyeumba tanzania hatakubali umwagaji damu tena!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom